Heshima yako ticha!!!, swafi saaana naona vijana wamejaa sana kuliko vikongwe
Tayari, nimetoka!!! asante watu wa arusha, vipi moshi mbeya mbona kimya? hata nyie shinyanga jamani
Nimeshapiga kura. Naangalia tv watu wanavyopiga kura. Watu walio kwenye foleni ya kupiga kura wanaonekana wana uchungu na hasira. Sijaelewa tatizo. Au ndio wanaenda kumsulubu JK!!! Kweli kazi ipo. Kumbe watu ukiwaangalia usoni tu utajua wanapigia chama gani. Kwa hali hii JK ajiandae kukabidhi tu, na akiangalia tv ndio presha itapanda. Maana watu wana hasira utadhani wanaenda ulingoni
By this time tomorrow, habari zitakuwa zingine kabisa! Ni VILIO everywhere! Kwi kwi kwi!!!!!! :smile-big:
Wagombea wa chadema ngazi ya jimbo na kata hawakuwa serious na mawakala, tumeshalizwa tayari. Chadema makao makuu walijipanga kuratibu na kushughulikia haya matatizo?
Ni asubuhi tu nimefika kituoni kupiga kura. Wengi waliosimama mstarini ni vijana wenye nyuso za matumaini na tabasamu. Sijawahi kuona mwamko wa namna hii tangu nilipopiga kura yangu ya kwanza mwaka 1975.
Naamini kabisa watanzania wanahitaji mabadiliko kwa nilichokiona hapa Mwanza, nitawajulisha kinachoendelea ila kwa masikio yangu CHADEMA juu
Mwanafunzi kamata hizo
View attachment 15995View attachment 15996
Katika bajeti yao walidai kuna maturubai mapya :smile-big::smile-big: