Duble Chris
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 3,481
- 564
ok sasa umeanza kuonaHuyu mbunge Kapuya sijui ni Prof wa nini kwa kweli mie binafsi namuona kama ni mzigo kwa taifa!
Uwa nashangaa Prof mzima eti anamiliki bendi, Acudo Impact.
Je, unaweza taja wengine ambao ni mizigo