Uchaguzi 2020 Mkubwa Dawa, Profesa Juma Kapuya achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Kaliua

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,246
Mbunge wa zamani wa Urambo Magharibi na waziri wa wizara mbili tofauti nchini, Profesa Juma Kapuya amechukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kaliua, Tabora.

Profesa Athumani Juma Kapuya  amechukua fomu ili kuomba kuteuliwa kuwania nafasi ( 640 X 640 ).jpg
===
Prof. Juma Kapuya kama utakuwa unakumbuka alikuwa waziri wa ulinzi na mbunge wa Urambo Tabora wakati wa utawala wa Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, Prof Kapuya kwa sasa amestaafu na anafanya shuguli zake binasi
 
Sema huyu mzee kitambo sanaaa, mnoo kwenye siasa tokea nipo dogo mzee waziri wa michezo, mbunge, kakaa bench, leo bado mzee anataka tena ubunge na mwenzie wassira
 
Back
Top Bottom