Hakuna wa kumtoa huyu mbunge

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
402
164
Kuna wabunge wengi wapo matumbo joto wakihofia kupoteza majimbo yao mwaka 2015 lakini sio kwa Prof JUMA ATHUMANI KAPUYA mbunge (CCM) wa URAMBO MAGHARIBI(Wilaya mpya Kaliua) hakika Kapuya ametutoa mbali na kamwe hatutamtosa amefanya mazuri mengi na bado anaendelea. Ni mbunge ambaye hana maneno mengi zaidi ya vitendo. MUNGU MBARIK KAPUYA NA IBARIK KALIUA.
 
Kawafanyia nini? huyu aliyekuwa anapokea sitting allowance za RA bungeni? huoni aibu mwanaume unakuwa unpokea posho ya mwanaume mwenzako? Haya tueleze kawafanyia nini?
 
Da kweli tz kubwa kun wilaya inaitwa kaliua, au kijiji hicho. Kaka umeandika pumba zilizovunja rekodi kama alizokuwa anndika mwanasha kwenye pepa
 
Ni kweli kabisa, katutowa mbali.

Kama huyu binti alikuja Dar kama house girl na sasa kapaishwa juu, safi sana.

Kapuya4.jpg
 
ni aibu kusema KAPUYA au wabunge wengine wameisaidia TABORA labda kama wewe si mkazi wa mkoa huo uliochoka kila na usio na maendeleo yeyote
 
Kweli kawatoa mbali angalia dada zetu na wadogo zetu wanavyotanua.

asanteni wana JF
kwa kutoa doubt kama hizi...nimesoma hapo juu hiyo thread ikanivutia xana kuifungua...but hii picha imekinzana na uhalali wa kauli ya mtoa mada....
hahaha
 
Acha kumpigia kampeni mshenzi huyo. Nikikumbuka ile sheria ya kazi alivyoisaini natamani nimfyatulie ya kichwa. Alichangia tanzania kuongozwa na maboyz 2 men
 
Nilipata kusikia huyu Kapuya anapuliza lile jani linalopigwa marufuku duniani kote isipokuwa Jamaica. Sijui kama ni kweli
 
Yani wewe wakati watanzania wanaongelea ukombozi wewe unaendelea kuongelea kuimiza ukoloni..haya bwana.
 
Huyu hafai, kachakaza dada zetu ktk ukumbi wake anaouita mileniam. akimpenda mke wa mtu mumewe anapewa udiwani na kuambiwa atulie. Hakuna maendeleo ya maana aloleta zaidi ya ukimwi. endapo ukimwi ni maendeleo basi kasambaza kweli kama vile risasi toka ktk bunduki
 
Back
Top Bottom