Hakuna ufisadi wowote katika Mkataba kati ya LUGUMI na Jeshi la Polisi

basi jamaa ana pesa toka 2008 kipind cha richmond hadi leo 2016 bado yy ana honga tu mbona ktk ile list ya mabilionea simuoni na wala siisikii serikali yako ikilia kaiibia pesa na sasa anashtakiwa,,,, wezi wakubwa nyie mnatumia mgongo wa mtu kuficha maovu yenu kazi haijafika hata nusu mtu kalipwa 99% na bado kuna tatizo la vifaa kama unavyotaka kusafisha eti vifaa havijafika toka 2011 ni vifaa nyeti ,,,,, nyeti mafinga print? mnatumika vibaya sana hebu tetea taifa lako na ukawa wataamuangusha kweli magu kama atashirikiana na wezi mfano wako ww.
Lowassa analipwa milioni 600 kodi ya pango atashindwa kuhonga watu wa kuiyumbisha serikali..mkakati wa lowasa tunaujua
 
Hata mimi simuelewi kabisa, kwani kumpuni ndio inahunda vifaa, mbona vinapatikana kwenye open market!!!
 
mbinu za Ukawa kuhonga watu kuyumbisha serikali zinajulikana..mlianza na january makamba mkagonga mwamba..sasa hivi mmekuja kwa kitwanga..mtashindwa u serikali iko imara

Amekupa kiasi gani uje kumtetea?Huo Mkataba ni wa mwaka gani?Kwanini akimbie?Kwanini huo mkataba uchwara ufichwe?Tumia akili usisingizie UKAWA.Jiteteteni wala rushwa na majangili wakubwa nyie.
 
PAC na polisi wapi na wapi? uliambiwa polisi ni shirika la umma muwe munafikiri kwa kutumia kichwa, weita leta nzagamba haraka.
mkataba nyeti kama wa jeshi hauwezi kupelekwa kwa hao wachumia tumbo PAC.. Mkataba utakaguliwa na kamati ya kudumu ya ulinzi na usalama tu na si vinginevyo
 
WAMILIKI WANASEMWA NI SAID MWEMA, HUYO LUGUMI MWENYEWE ANAYESEMWA AMEOA KWA SAID, MWEMA, RIDHIWANI KIKWETE, NA CHARLES KITWANGA. WEWE UNAONA SIYO UFISADI HAO WATU KUFANYA BIASHARA NA SERIKALI?!
Ukiwa na akili ya kujiongoza kesi iliyoamuliwa jana dhidi Mhando wa Tanesco, itakuongoza kujua kama ukisemacho chatosha kuwa ufisadi au ni wivu na chuki binafsi.
 
Mtoa mada umehitahidi sana kujaribu kuzuga wafuatiliaji.

Miaka mitano bado vifaa havijatengenezwa na mkataba bado unapumua, hii ulitakiwa kuwaeleza watoto wanaosoma Chekechea.

CCM ni wale wale. Uzao wa Panya siku zote hauwezi kuacha asili yao ya kuiba.

Hebu jiulize mbona Mhe Mtumbua Majipu ktk hili amepiga kimyaaaaa.....

Mtoa mada, Kazi uliyojipa Iitakutoa Kamasi nyembamba
 
Amekupa kiasi gani uje kumtetea?Huo Mkataba ni wa mwaka gani?Kwanini akimbie?Kwanini huo mkataba uchwara ufichwe?Tumia akili usisingizie UKAWA.Jiteteteni wala rushwa na majangili wakubwa nyie.
umeshaambiwa kampuni ilinayotengeneza hivyo vifaa imeshindwa kuvikamilisha kwa muda unaotakiwa...vikikamilika vitaletwa as soon as posible..kuwa na subira mkuu vitafika musa si mrefu
 
Unajua taratibu za manunuzi wewe? naomba nikuulize swali ni wakati gani mzabuni ulipwa fedha?
(a) Kabla ya kussuply vifaa?
(b) Baada ya kussuply vifaa?

Ukipata jibu tuambie je Lugumi wamelipwa au bado kulipwa?

Ni wazi kwa majibu utakayoyapata utajigundua akili yako ni ya kiwango gani na uhalali wa hii hoja yako kuwepo humu kama ina manufaa yeyote kumtetea Kitwanga.
 
TENDER TOKA 2011 / ETI NDIO MASHINE ZITALETWA AUGUST/2016.
A TENDER THAT TOOK 5 YEAR?
SHAME.HOGOLA,MALINYOSA.
*pale watanzania wanapogeuzwa mazwazwa.
 
lowasa analipwa bilioni 600 kodi ya pango atashindwa kuhonga watu wa kuiyumbisha serikali..mkakati wa lowasa tunaujua

alooo huyu mtu tajiri sana billion 600 anaiyumbisha serikali inyoweza kukusanya kwa mwezi mapato yake trillion moja na zaid hovyo sna ww uwe unafikir kabla ya kupost.
 
mkataba nyeti kama wa jeshi hauwezi kupelekwa kwa hao wachumia tumbo PAC.. Mkataba utakaguliwa na kamati ya kudumu ya ulinzi na usalama tu na si vinginevyo
We jidanganye tu na kuchanganya hadhi ya POLISI na JWTZ. Hapa mlipofikiri ni kichaka ni papenuni kweli!
 
umeshaambiwa kampuni ilinayotengeneza hivyo vifaa imeshindwa kuvikamilisha kwa muda unaotakiwa...vikikamilika vitaletwa as soon as posible..kuwa na subira mkuu vitafika musa si mrefu
Nimekuuliza mkataba huo amepewa toka mwaka gani?

Hebu tuelezee hii statement "The contract was sealed in 2011 during the tenure of the then Inspector General of Police (IGP), Said Mwema" ,hicho kiwanda mashine zake zinatengeneza vifaa kama mwendo wa konokono?

Hebu usitudanganye wengine hatuko na akili za kitapeli kama bosi wako Lugumi.Tuambie Lugumi & Coy wamekupa ngapi??

Acheni ujangili imetosha sasa.

Mwambie aliyekutuma kwamba watanzania tumechoka...........
 
Sawa mkuu, asante kwa taarifa....

Umenikumbusha mafundi flani, unamlipa akutengezee kitanda anakula pesa kitanda hakuna, siku unakuja juu mpaka unataka kuondoka na misumeno anakuambia njoo wiki ijayo kitakuwa tayari...
 
Unajua taratibu za manunuzi wewe? naomba nikuulize swali ni wakati gani mzabuni ulipwa fedha? (a) Kabla ya kussuply vifaa?
(b) Baada ya kussuply vifaa?
Ukipata jibu tuambie je Lugumi wamelipwa au bado kulipwa?
Ni wazi kwa majibu utakayoyapata utajigundua akili yako ni ya kiwango gani na uhalali wa hii hoja yako kuwepo humu kama ina manufaa yeyote kumtetea Kitwanga.
tender inayohusu jeshi ni tofauti na tender nyingine mkuu..jeshi linahusu usalama wa taifa usifananishe na tender za kusupply stationery equipment au vitabu
 
tender inayohusu jeshi ni tofauti na tender nyingine mkuu..jeshi linahusu usalama wa taifa usifananishe na tender za kusupply stationery equipment au vitabu
kweli mkuu, hata pesa zake zinatolewa ki usalama zaidi, hazipiti bungeni!! !! !!
 
Wanajf.

Mkataba kati ya Lugumi na Jeshi la Polisi ni halali na hakuna ufisadi wowote vifaa vilivyoagizwa na Lugumi vimechelewa kufika nchini kutokana na kampuni inayovitengeneza kuchelewa kumaliza kazi hiyo kwa wakati.
By September mwaka huu vifaa vyote vitakuwa vimefika na kupelekwa kunakohusika Watanzania wenzangu.

Acheni kueneza uongo na chuki kwa jamii tuwe Wazalendo kwa nchi yetu hizi propaganda zinazoenezwa na UKAWA ili kuiyumbisha serikali ya awamu ya tano tuzikatae kwa nguvu zote.
***
lowassa unamwingizaje?hapa.
lowassa yupo pembeni na kilimo chake na ufugaji.
use common sense.
 
Back
Top Bottom