Hakuna ubishi kuwa mapambano ya Nape yamezima nguvu ya soda ya CHADEMA

Ndugu wana jf na imani kuwa wote humu ndani tuna akili timamu hakuna punguani hapa jamvini wa kubisha kuwa Nape Nauye ni mwarobaini wa sumu anayomwaga Dr slaa look ushahidi wa wazi ni jinsi Nape alivyofanikiwa kuzima vuguvugu la CHADEMA la maandamano pale na yeye alipoibuka na style ya mkoa kwa mkoa.

Sasa baada ya kushindwa hili naona CDM wamedandia hoja ya posho , kwani hawajui kuwa hiyo ni agenda ya CCM? hawajui kuwa Magufuli na Kikwete hawajawahi kuchukua posho bungeni?

Mwanzoni nilidhani Nape hatowezi kuzima urongo wa CDM ila sasa asante Mungu naweza kukaa na kunywa soda au kahawa kuwa 2015 ni zamu ya CCM tena kwa jinsi Nape alivyong'oa fikra potofu za Mbowe na Slaa, Long live Nape Nauye!
umelipwa sh ngapi na bosi wako nepi?
 
Back
Top Bottom