Hakuna ubishi kuwa mapambano ya Nape yamezima nguvu ya soda ya CHADEMA

ni wewe ms au umeandikiwa..
Nyinyi mnamuangalia maleria Sugu juu juu hamumuelewi kabisa, huyu bwana yeye ni mwanaccm maslahi, kwahiyo uwepo wa mapacha watatu ndani ya ccm ni = Membe afute ndoto za kuwa mgombea urais.
Hapo ndipo vita ya Marelia Sugu inapoanzia hawa ni maadui wake wakuu ili kambi yake ya Membe iweze kupata uteuzi ndani ya chama chao cha magamba lazima hawa wasiwepo.
 
Ndugu wana jf na imani kuwa wote humu ndani tuna akili timamu hakuna punguani hapa jamvini wa kubisha kuwa Nape Nauye ni mwarobaini wa sumu anayomwaga Dr slaa look ushahidi wa wazi ni jinsi Nape alivyofanikiwa kuzima vuguvugu la CHADEMA la maandamano pale na yeye alipoibuka na style ya mkoa kwa mkoa.

Sasa baada ya kushindwa hili naona CDM wamedandia hoja ya posho , kwani hawajui kuwa hiyo ni agenda ya CCM? hawajui kuwa Magufuli na Kikwete hawajawahi kuchukua posho bungeni?

Mwanzoni nilidhani Nape hatowezi kuzima urongo wa CDM ila sasa asante Mungu naweza kukaa na kunywa soda au kahawa kuwa 2015 ni zamu ya CCM tena kwa jinsi Nape alivyong'oa fikra potofu za Mbowe na Slaa, Long live Nape Nauye!

Kipanga mlakuku,

Ni kweli kabisa hapa JF watu tuna akili timamu kasoro wewe Kipanga mlakuku!!
IQ yako ni sawa na kuku na bila shaka ni kwasababu ya kula luku!!! Hivi Nape unaweza kumlinganisha na Dr. Slaa au Mhe. Mbowe kwa akili yako hiyo finyu?????

CHADEMA inafanya mikakati yake kisayansi na kisomi wala haikurupuki kama mnavyofanya watu wa magamba. Kwa sasa viongozi wengi wa CDM wana majukumu mengi yanayohusiana na Bunge la Bajeti 2011/12. Madai yako kuwa Nape kanyamazisha maandamano ya CDM ni urongo mtupu.

Wewe subiri Bunge la Bajeti liishe halafu uone moto wake kama Wanamagamba hamjalizwa billa kutandikwa bakora.Longolongo ya Nape kuwadanganya Wa-tz na propaganda za kizamani zitang'olewa na kutupwa nje.

Hivi zile siku 90 alizowapa Wanamagamba wenzake kujitoa Chamani zinaisha lini vile???Hivi kwa akili yenu wanamagamba Nape ana ubavu wa kuwang'oa EL,AC na RA???Tunasubiri hizo siku 90 zitimie halafu tuone nani ataibuka kijogoo.

Nape atakula matapishi yake.
 
Ndugu wana jf na imani kuwa wote humu ndani tuna akili timamu hakuna punguani hapa jamvini wa kubisha kuwa Nape Nauye ni mwarobaini wa sumu anayomwaga Dr slaa look ushahidi wa wazi ni jinsi Nape alivyofanikiwa kuzima vuguvugu la CHADEMA la maandamano pale na yeye alipoibuka na style ya mkoa kwa mkoa.Sasa baada ya kushindwa hili naona CDM wamedandia hoja ya posho , kwani hawajui kuwa hiyo ni agenda ya CCM? hawajui kuwa Magufuli na Kikwete hawajawahi kuchukua posho bungeni?Mwanzoni nilidhani Nape hatowezi kuzima urongo wa CDM ila sasa asante Mungu naweza kukaa na kunywa soda au kahawa kuwa 2015 ni zamu ya CCM tena kwa jinsi Nape alivyong'oa fikra potofu za Mbowe na Slaa, Long live Nape Nauye![/QUOTEHiyo Nepi hata Mnyika haimtoshi!
 
ACha ukilaza. Usitoe sifa ambazo hazipo. Alichofanikiwa Nape si kupunguza kasi ya CDM, bali kukigawa chama chake. Amekipasua mapande mawili na sasa bila shaka CCM kinaelekea kuzimu. Mradi mkubwa wa Nape anaoufanya sasa, ni kutaka kumuingiza madarakani Mwandosya, akishindwa basi chaguo lake la pili ni Membe AKA Joka la MDIMU. Kama CCM wanaakili mzuri na wanataka kukiokoa chama chao na anguko la kuondoka madarakani, basi haraka wamuondoe Nape katika nafasi hiyo. Huyu jamaa ni kichaa. Aliwahi kumtukana hadharani Kikwete kwamba hana uwezo na akiingia madarakani yeye atahama nchi. Leo baada ya kulamba miguu ya Kikwete amekuwa ndiye mtetezi mkuu wa kiongozi huyo.
 
Wote humu ndani tuna akili timamu kasoro kipanga mla kuku na wenzake! Upo hatarini kuliwa na kuku muda mfupi ujao, kwa wenye akili timamu hata ndani ya magamba wanajua ngoma wanayoicheza mpaka sasa ndani na nje ya bunge ni ya cdm sasa mwenzetu wewe sijui umeibukia wapi
 
Ndugu wana jf na imani kuwa wote humu ndani tuna akili timamu hakuna punguani hapa jamvini wa kubisha kuwa Nape Nauye ni mwarobaini wa sumu anayomwaga Dr slaa look ushahidi wa wazi ni jinsi Nape alivyofanikiwa kuzima vuguvugu la CHADEMA la maandamano pale na yeye alipoibuka na style ya mkoa kwa mkoa.Sasa baada ya kushindwa hili naona CDM wamedandia hoja ya posho , kwani hawajui kuwa hiyo ni agenda ya CCM? hawajui kuwa Magufuli na Kikwete hawajawahi kuchukua posho bungeni?Mwanzoni nilidhani Nape hatowezi kuzima urongo wa CDM ila sasa asante Mungu naweza kukaa na kunywa soda au kahawa kuwa 2015 ni zamu ya CCM tena kwa jinsi Nape alivyong'oa fikra potofu za Mbowe na Slaa, Long live Nape Nauye!
Kwanza wewe unaakili timamu? Wewe ni punguani tena sana pia wewe ni lofa mkubwa
 
Nape ana primitive ideas. Naomba wanaJF wote tukiri kutoka katika mioyo yetu kuwa SIASA ZA HADAA Hazitufikishi popote. Anachokifanya Nape ni muendelezo wa kujitajirisha. Nina Ushahidi wa kutosha kuwa kila mkoa atakapofika hupewa kati ya Tshs 2,000,000 na makatibu wa mikoa,1,000,000 na makatibu wa wilaya. Hilo ni la kwanza lakini CCM sio chama cha wanyonge wa nchi hii tena.kimekiuka misingi yake kilichojiwekea. Nape hana tofauti na waimba mipasho eg. Hadija Kopa,sijui Mzee yusufu nk. na jina siku hizi wanamwita Baba wa kushebendua. Tuache kushabikia mzaha wa CCM na NAPE. Kumbukeni tu kuwa nchi imeuzwa hii tunasubiri Stakabadhi tu. Au huyo NAPE akanushe hili " BIMA ZA MAGARI YA CCM hard top. Kila gari Tsh 2,000,000! wanaibiana hata wenyewewe kwa wenyewe! Nape kwenye hili pia huchomoki!
 
Ms nakukubali! Membe na wewe mnaota ndoto za mchana tena zile za kuokota kitita cha fedha na kushindwa kuzifanyia matumizi! Watu wenye asili ya Pwani kamwe hamuaminiki, nikupe mfano, Ali H. Mwinyi rukhsa mpaka mahindi kuuziwa ikulu! Kikwete kilichobaki hapa ni watz kupewa risti tu kuthibitisha mauzo ya TZ. Sasa na Membe tena! La Nape nafikiri aongeze kasi tu ya hiki anachokifanya cha kujikusanyia fedha Haramu kutoka kwa makatibu wake wa mikoa na wilaya Tsh 1,000,000 - 2,000,000. Tukubali tu CCM kimeikacha misingi yake ya mwanzo. SIO CHAMA CHA WAKULIMA NA WAFANYAKAZI TENA! NApe niambie nani kaungurumisha ile dili ya Bima za Magari ya CCM! Kila gari Tsh 2,000,000! Mnaibiana hata wenyewe kwa wenyewe
 
ni kweli kipanga, nepi amefanya mengi. Ameweza kuwafukuza mapacha watatu ndani ya ccm na sasa hawana vyama. Mikutano yake mingi haijai watoto wa shule. Kila anapotembelea hawasafirishi watu kwa malori ili wahudhurie mikutano yake. Halafu kikubwa kabisa alichokifanya ni kuisimamia serikali na kuishinika kutatua tatizo la umeme, sasa tatizo hilo limebaki ni historia tu na umeme unawaka masaa 24 kwa wiki kwa mwezi. Halafu amewashawishi wabunge wa chama chake wazikatae posho na sasa wabunge wote hawapewi posho.

Naona ukieleza hivi labda wataelewa.
 
Ndugu wana jf na imani kuwa wote humu ndani tuna akili timamu hakuna punguani hapa jamvini wa kubisha kuwa Nape Nauye ni mwarobaini wa sumu anayomwaga Dr slaa look ushahidi wa wazi ni jinsi Nape alivyofanikiwa kuzima vuguvugu la CHADEMA la maandamano pale na yeye alipoibuka na style ya mkoa kwa mkoa.

Sasa baada ya kushindwa hili naona CDM wamedandia hoja ya posho , kwani hawajui kuwa hiyo ni agenda ya CCM? hawajui kuwa Magufuli na Kikwete hawajawahi kuchukua posho bungeni?

Mwanzoni nilidhani Nape hatowezi kuzima urongo wa CDM ila sasa asante Mungu naweza kukaa na kunywa soda au kahawa kuwa 2015 ni zamu ya CCM tena kwa jinsi Nape alivyong'oa fikra potofu za Mbowe na Slaa, Long live Nape Nauye!

Sioni kwa nini CDM waongee sana kwa sasa, giza ndo linaongea. Nape atazunguka kila kona ya TZ kupiga maneno ila kila mtu anaona kuwa kwa sasa kuna giza la kihistoria ambalo ni uthibitisho kuwa CCM wameshindwa and they need to step down.
 
ni kweli kipanga, nepi amefanya mengi. Ameweza kuwafukuza mapacha watatu ndani ya ccm na sasa hawana vyama. Mikutano yake mingi haijai watoto wa shule. Kila anapotembelea hawasafirishi watu kwa malori ili wahudhurie mikutano yake. Halafu kikubwa kabisa alichokifanya ni kuisimamia serikali na kuishinika kutatua tatizo la umeme, sasa tatizo hilo limebaki ni historia tu na umeme unawaka masaa 24 kwa wiki kwa mwezi. Halafu amewashawishi wabunge wa chama chake wazikatae posho na sasa wabunge wote hawapewi posho.
Hapo umenena kweli yote!kipindi ninasoma hicho ulichokisema kilijulikana kwa jina la 'IRONY'safi sana Nepi ni noma ndo maana watu wa Ubungo walimpa kura nyingi na sasa hivi ni Mbunge!Nepi endelea kukijenga chama ili kirest in peace kabisa=R.I.P CCM YETU!
 
mjinga husahau hata alikula lini! fikiri kwa ubongo na wala si kwa tumbo na mudomo.nape anazunguka kwanini asizungumzie umeme? SIKU ALIZO TOA KWA MAFISADI ZINAMRUDI MWENYEWE.walio kutuma wamekosea wewe c mjumbe mzuri na hata haujui aliye kutuma amekuyekutuma alikutuma nini?
 
Ndugu wana jf na imani kuwa wote humu ndani tuna akili timamu hakuna punguani hapa jamvini wa kubisha kuwa Nape Nauye ni mwarobaini wa sumu anayomwaga Dr slaa look ushahidi wa wazi ni jinsi Nape alivyofanikiwa kuzima vuguvugu la CHADEMA la maandamano pale na yeye alipoibuka na style ya mkoa kwa mkoa.

Sasa baada ya kushindwa hili naona CDM wamedandia hoja ya posho , kwani hawajui kuwa hiyo ni agenda ya CCM? hawajui kuwa Magufuli na Kikwete hawajawahi kuchukua posho bungeni?

Mwanzoni nilidhani Nape hatowezi kuzima urongo wa CDM ila sasa asante Mungu naweza kukaa na kunywa soda au kahawa kuwa 2015 ni zamu ya CCM tena kwa jinsi Nape alivyong'oa fikra potofu za Mbowe na Slaa, Long live Nape Nauye!
NAPE MOSES NNAUYE huyu ajent hakufai ni kilaza wa kufamtu usimpe malipo kabisa ona anavyotoa hoja mbofumbofu.
 
Ndugu wana jf na imani kuwa wote humu ndani tuna akili timamu hakuna punguani hapa jamvini wa kubisha kuwa Nape Nauye ni mwarobaini wa sumu anayomwaga Dr slaa look ushahidi wa wazi ni jinsi Nape alivyofanikiwa kuzima vuguvugu la CHADEMA la maandamano pale na yeye alipoibuka na style ya mkoa kwa mkoa.

Sasa baada ya kushindwa hili naona CDM wamedandia hoja ya posho , kwani hawajui kuwa hiyo ni agenda ya CCM? hawajui kuwa Magufuli na Kikwete hawajawahi kuchukua posho bungeni?

Mwanzoni nilidhani Nape hatowezi kuzima urongo wa CDM ila sasa asante Mungu naweza kukaa na kunywa soda au kahawa kuwa 2015 ni zamu ya CCM tena kwa jinsi Nape alivyong'oa fikra potofu za Mbowe na Slaa, Long live Nape Nauye!

Ni kweli nimemuona kwenye picha fulani wakati yuko kwenye mkoa mmojawapo huku kusini. Jamaa tumbo limeanza kuongezeka. Si unakumbuka Tambwe Hiza alivyokuwa wakati yuko CUF na alivyobadilika baada ya kuingia CCM? Jamaa alipoanza kazi ya kupiga mdomo mtupu CCM basi na tumbo lake lilianza kukua, Nape naye naona hali yake ni hivyo hivyo.
 
Ndugu wana jf na imani kuwa wote humu ndani tuna akili timamu hakuna punguani hapa jamvini wa kubisha kuwa Nape Nauye ni mwarobaini wa sumu anayomwaga Dr slaa look ushahidi wa wazi ni jinsi Nape alivyofanikiwa kuzima vuguvugu la CHADEMA la maandamano pale na yeye alipoibuka na style ya mkoa kwa mkoa.

Sasa baada ya kushindwa hili naona CDM wamedandia hoja ya posho , kwani hawajui kuwa hiyo ni agenda ya CCM? hawajui kuwa Magufuli na Kikwete hawajawahi kuchukua posho bungeni?

Mwanzoni nilidhani Nape hatowezi kuzima urongo wa CDM ila sasa asante Mungu naweza kukaa na kunywa soda au kahawa kuwa 2015 ni zamu ya CCM tena kwa jinsi Nape alivyong'oa fikra potofu za Mbowe na Slaa, Long live Nape Nauye!

Maandamano tena ya nini wakati wananchi tayari wameshapata ujumbe kuwa hali ngumu ya maisha wanayoishi imeletwa na CCM. Nape anazunguka mikoani kwa ajili ya kupata per diem tu. Anatengeneza mamilioni ya hela za per diem. Hiyo ni neema ya fedha imemjia ghafula, tena ukizingatia akina Nchimbi walitaka kumtoza baharini kabisa wakati ule wa mgogoro wa UVVCCM.
 
Ndugu wana jf na imani kuwa wote humu ndani tuna akili timamu hakuna punguani hapa jamvini wa kubisha kuwa Nape Nauye ni mwarobaini wa sumu anayomwaga Dr slaa look ushahidi wa wazi ni jinsi Nape alivyofanikiwa kuzima vuguvugu la CHADEMA la maandamano pale na yeye alipoibuka na style ya mkoa kwa mkoa.Sasa baada ya kushindwa hili naona CDM wamedandia hoja ya posho , kwani hawajui kuwa hiyo ni agenda ya CCM? hawajui kuwa Magufuli na Kikwete hawajawahi kuchukua posho bungeni?Mwanzoni nilidhani Nape hatowezi kuzima urongo wa CDM ila sasa asante Mungu naweza kukaa na kunywa soda au kahawa kuwa 2015 ni zamu ya CCM tena kwa jinsi Nape alivyong'oa fikra potofu za Mbowe na Slaa, Long live Nape Nauye!
We kweli umepotoka, kwa mzigo unaochapwa na CDM kama ungekua na akili timamu Usinge hoji. Unaweza kuuelezea umma ni kwa jinsi gani wananchi watafaidika na matembezi ya Nape Nauye ya mkoa kwa mkoa!!!????????. CDM walikua wanaandamana ili kuhamasisha maendeleo ya wananchi na ya nchi kwa ujumla, kama utaki kuelewa pita mikoa ya Mara, mwanza, mbeya na iringa uone mambo yanavyobadilika baada ya CDM kuhamasisha.Unafikiri, ni sifa endapo Nauye akipita mkoa kwa mkoa na kukejeli nguvu ya Umma!???. Hakika ni CDM is for Democracy and Progressive not for Revolutionaries.
 
ni kweli kipanga, nepi amefanya mengi. Ameweza kuwafukuza mapacha watatu ndani ya ccm na sasa hawana vyama. Mikutano yake mingi haijai watoto wa shule. Kila anapotembelea hawasafirishi watu kwa malori ili wahudhurie mikutano yake. Halafu kikubwa kabisa alichokifanya ni kuisimamia serikali na kuishinika kutatua tatizo la umeme, sasa tatizo hilo limebaki ni historia tu na umeme unawaka masaa 24 kwa wiki kwa mwezi. Halafu amewashawishi wabunge wa chama chake wazikatae posho na sasa wabunge wote hawapewi posho.

Wapi kadi za CCM, kweli Nepi kiboko, amenigusa zaidi jinsi alivyotatua tatizo la umeme
 
Back
Top Bottom