Elections 2010 Hakuna mwanaume wa Arusha aliyepeleka posa nikamkataa - Batilda

Haya madaraka ya lazima yanaweza kukufanya mwedawazimu fulani...
 
Alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara juzi maeneo ya makao mapya badala ya kuwaeleza wananchi namna atakavyotatua matatizo yao lukuki,mgombea huyu kwa tiketi ya ccm Arusha mjini alionyesha jinsi CCM ilyoishiwa sera na kuanza kuleta mambo ya mipasho na kuwaponda wanaume wa Arusha kuwa hawakumtokea alivyokuwa msichana ndio maana akaenda kuolewa zanzibar.
watu kama hawa hawatakiwi kabisa bungeni.
CHADEMA HOYEE....

Je, tabia yake ilikuwa nzuri? Mara nyingi wasichana wenye tabia mbaya uolewa na wanaume kutoka mbali!
 
Alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara juzi maeneo ya makao mapya badala ya kuwaeleza wananchi namna atakavyotatua matatizo yao lukuki,mgombea huyu kwa tiketi ya ccm Arusha mjini alionyesha jinsi CCM ilyoishiwa sera na kuanza kuleta mambo ya mipasho na kuwaponda wanaume wa Arusha kuwa hawakumtokea alivyokuwa msichana ndio maana akaenda kuolewa zanzibar.
watu kama hawa hawatakiwi kabisa bungeni.
CHADEMA HOYEE....

Nafikiri huyo mama alikuwa anatoa ufafanuzi kwa wapika majungu na wale wanaopenda kupandikiza mbegu za udini katika siasa kwamba ilikuwaje Batilda akaolewa na mwislamu wakati yeye alikuwa mkristo safi wa madhehebu ya KKKT? Mbali na hayo kwamba huyo mama alikuwa anafanya kazi Katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT).

Suala la kuolewa au kuoa ni haki na hiari ya mtu kuchagua kama ilivyo kwa dini zote. Mwanamume au mwanamke anaweza kumfuata mwenzi wake katika ukristo au Uislamu.... mpaka hapo hakuna jambo lililoharibika. Lakini kwa wapenda udini hili limekuwa tatizo kwao kuitumia fursa hiyo kupiga kampeni za siasa za udini kwamba wakristo wamnyime kura kwa sababu alihama dini, bila kufahamu kwamba kuna wagombea walioacha Uislamu na sasa wako kwenye siasa kwa dini ya kikiristo. Huu ni mtazamo mwepesi usio na uzito kwa watu weredi katika ujenzi wa taifa lenye umoja. Zaidi bila kufahamu kwamba, pamoja na kuolewa bado Batilda ana ndugu wa Kikiristo aliowaunganisha na ndugu zao waislamu, kama lingekuwa ni suala la rangi ya mtu huyu mama tungesema ni chotara wa kiislamu na kikiristo jambo ambalo njema katika kujenga umoja kati ya wakristo na waislamu kupitia kuoleana.
 
Je, tabia yake ilikuwa nzuri? Mara nyingi wasichana wenye tabia mbaya uolewa na wanaume kutoka mbali!

:nono: Kimsingi, Batilda aliwahi kujieleza kwamba watu wanaoeneza propaganda za udini ni watu hatari sana, yeye alipokuwa anafanya kazi KKKT hadi alipopata posa ya mwanaume wa Kiislamu hakuna mwanaume mkristo aliyejitokeza kumposa ingiwa bado inabaki kuwa ni haki yake kuolewa na mtanzania yeyote bila kujali dini.
 
Sisi wakazi wa Arusha zoezi la kura tumeshamaliza tunasubiri tu Masanduku ya NEC tuweke karatasi zetu tuondoke zetu.
Labda nikudokezeni, kura zetu ni kwa GODBLESS LEMAA!!!!!!!!!!!!!!!!. HUYU NDIYE MBUNGE TUNAYEMTAKA, JASIRI, MKWELI NA MTETEZI WETU.

HATUTAKI WATU NDUMINAKUWILI HASWA LINAPOFIKA SUALA NYETI KAMA LA UFISADI ETI MTU HATAKI KUONEKANA MBAYA KWA KUSEMA UKWELI. HIVI NDIVYO ALIVYO DK. BURIAN BATILDA
 
Yote kumi, majibu tunayo jumapili.Tumeisha jipanga HATUDANGANYIKI TENA. Kura zote kwa Dr W Slaa, ukipoteza maboya utajuta miaka mitano ijayo!

Experience is not what happens to a man. It is what a man does with what happens to him. Aldous Leonard Huxley.
 
1 out of 2 members found this post helpful. Did you find this post helpful? |
icon1.gif
Zilizokamatwa Tunduma zimetua "Ngerengere"


taarifa zinaenea kwamba zile karatasi za kura zilizokuwa zimekamatwa kule Tunduma kwenye lori inasemekana zimerudishwa Zambia na badala yake zimeingizwa nchini kwa ndege bila kutua kwenye kiwanja chochote cha ndege za abiria, bali sasa zimetua kwenye kiwanja cha ndege za kijeshi kwenye kambi ya Ngerengere, mkoani Morogoro.

Imetumika mbinu ileile kama ya Meremeta kwani ukiongelea Meremeta basi inaelezwa kwamba ni suala la kijeshi na hivyo ni suala la ulinzi na usalama wa Taifa na halipaswi kuongelewa. Na kwa sababu Ngerengere hapakanyagiki kiurahisi basi hata ndege ikitua pale hakuna anayeweza kuweka wasiwasi.

Ndiyo sababu si rahisi kumsikia hadharani mtu akitaja kwamba zile kura tayari zimo nchini lakini sasa ziko Ngerengere zikisubiri kusambazwa kulikopangwa.

Baada ya kufanikisha kuziingiza sasa imebaki kuzisambaza ktuoka hapo Ngerengere jeshini. Hivyo inabidi kukaa mkao wa kujua kuwa hilo lipo.

Tuendelee kusambaratisha mbinu hata kwa kutaarifiana hivi.
Mbunge wa Arusha ni Mr Godbless Lema. Upo hapo, USIDANGANYIKE.
Wanajeshi nao pia ni binadamu hali ya uchumi inawagusa. Tuchague kwa usahihi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom