Hakuna Msanii/Mtanzania yeyote anayemfikia Kili Paul kwa likes na comments Instagram, na wala haringi

KotelaMamba

JF-Expert Member
Apr 8, 2020
642
1,015
Huyu Mwamba anatisha sana huko Instagram anafikisha likes Milions na Comments nyingi, kuliko kina Diamond na wala haringi, wala Watanzania hawamjui kivile.

Big up sana Mwamba kwa ubunifu uliotukuka.

Screenshot 2023-06-15 035216.png
 

Attachments

  • PSX_20230614_183134.png
    PSX_20230614_183134.png
    337.3 KB · Views: 8
  • PSX_20230614_183032.png
    PSX_20230614_183032.png
    250.5 KB · Views: 10
Huyu Mwamba anatisha sana huko Instagram anafikisha likes Milions na Comments nyingi, kuliko kina Diamond na wala haringi wala Watanzania hawamjui kivile.

Big Up sana Mwamba kwa ubunifu uliotukuka.


Karibia kila Post yake amevuka 100k likes
 
Back
Top Bottom