Hakuna mbunifu wa mavazi ya Rais wetu?

Hizo ni American suit, zinapendeza sana kama ukipangilia vizuri rangi ya suruali na ya koti.
Watu wengi wamezoea British suit, ambazo ni full rangi moja suruali na koti ndio maana wana maono tofauti.

Ndio maana tunajadili hizo rangi za koti na suruali !
 
Back
Top Bottom