Hakuna mbunifu wa mavazi ya Rais wetu?

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
karibu.JPG
karibu1.JPG

Kama Rais wetu ana mbunifu wa mavazi anabeba lawama kwa vile mvao huo suruali nyeusi na koti nyeupe haviendani. Mara kadhaa nimeona mvao huo nikafikira labda ni kwa bahati mbaya, lakini sasa inaelekea hali imezoeleka.
 
Mkuu inaelekea wewe bado unaishi karne ya 3 piece suit-watu wa fashion wameshatoka huko mangi! kati ya vitu nisivyothubutu kumkandia raisi wangu huyu ni suala la mavazi, he is way too far frm most of us!!!!
 
Mbunifu wa mavazi ya mkweree yuko KEMPISKY na ndio maana havai vimao bali suti za SAVILLE ROW!!!Ingawa nadiriki kusema kuwa kwa kupiga Pamba huyu mkweree hamfikii MMASAI wa Monduli; ni mtazamo tu msipige mayowe!!!!
 
Mkuu inaelekea wewe bado unaishi karne ya 3 piece suit-watu wa fashion wameshatoka huko mangi! kati ya vitu nisivyothubutu kumkandia raisi wangu huyu ni suala la mavazi, he is way too far frm most of us!!!!

Sijamkandia, ila koti alilovaa haliendani kaibsa na suruali. Angevaa shati tu na suruali si tatizo, lakini koti lina mfumo wake kaika rangi kwa mtu mkubwa kama yeye, vinginevyo mie nikiwa kwangu sokoni inaeleweka.
 
karibu.JPG
karibu1.JPG

Kama Rais wetu ana mbunifu wa mavazi anabeba lawama kwa vile mvao huo suruali nyeusi na koti nyeupe haviendani. Mara kadhaa nimeona mvao huo nikafikira labda ni kwa bahati mbaya, lakini sasa inaelekea hali imezoeleka.

koti na suruali si mbaya ila na rangi ya tai au ndo miseto yenyewe hiyo!?
 
Mkuu inaelekea wewe bado unaishi karne ya 3 piece suit-watu wa fashion wameshatoka huko mangi! kati ya vitu nisivyothubutu kumkandia raisi wangu huyu ni suala la mavazi, he is way too far frm most of us!!!!

Kiongozi,

Mavazi kwa watu wazito yana tafsiri yake na si sawa na sisi.....halafu hakuna suti iliyovaliwa karne ya 3....suti zimekuja karne ya 19
 
Ni dhahiri akiwa na safari ya ndani ya nchi na safari ya nje ya nchi kunatakiwa kutofautisha. Hii haijakaa vizuri akitokea nje ya nchi.
 
Halafu inaelekea koti hilo jeupe analipenda sana maana huwa analivaa mara nyingi.

Asipotembea na kile kiti chake kaambiwa na SANGOMA wake avae hilo koti ndio HIRIZI yake; kiti hawezi kwenda nacho majuu hatoeleweka lakini koti mambo swali!!
 
Hata mimi naona kama vile hiyo combination ya rangi ya koti na suruali haileti ladha nzuri! Koti limetokelezea rangi/linang'aa kwa sana kuliko suruali.
 
Ni dhahiri akiwa na safari ya ndani ya nchi na safari ya nje ya nchi kunatakiwa kutofautisha. Hii haijakaa vizuri akitokea nje ya nchi.

Uzoefu unaniambia kila akirudi toka nje anvaa hizi dinner jackets.....labda huwa anakuwa ametokea dinning room?

DSC0302.jpg

Jakaya+KIKWETE.JPG

jakaya-kampala.jpg

05_12_0tqsyc.jpg
 
Sijamkandia, ila koti alilovaa haliendani kaibsa na suruali. Angevaa shati tu na suruali si tatizo, lakini koti lina mfumo wake kaika rangi kwa mtu mkubwa kama yeye, vinginevyo mie nikiwa kwangu sokoni inaeleweka.

Mkuu hayo mambo ya kuvaa vitu vya kuendana waachie wakinamama. Mtu mwenye akili zako timamu, rijali na una majukumu kamwe huwezi kutumia dkk 10 unachagua nguo ya kuvaa as if wewe ni kidemu njaa unayetaka kuvutia wanaume kwa nguo.

Simpendi huyu ****** kwa mambo yake lkn hili la nguo sasa ni kumuonea. Hatufanyi fashen shoo kwenye mwili wa rais bana
 
Uzoefu unaniambia kila akirudi toka nje anvaa hizi dinner jackets.....labda huwa anakuwa ametokea dinning room?

DSC0302.jpg

Jakaya+KIKWETE.JPG

jakaya-kampala.jpg

05_12_0tqsyc.jpg

Wanikubusha waganga wa kienyeji jamaa atazunguka nchi nzima kutafuta kuku mweupe mwenye kishungi njaani kichwani ili mradi upate hifadhi ya uhai, lakini hilo si kwa Presida watu, amezoea tu ndo maana ana makoti aina hiyo mengi tu na haoni shida kuvaa makoti yanayotofautiana na rangi ya pent.
 
Mkuu hayo mambo ya kuvaa vitu vya kuendana waachie wakinamama. Mtu mwenye akili zako timamu, rijali na una majukumu kamwe huwezi kutumia dkk 10 unachagua nguo ya kuvaa as if wewe ni kidemu njaa unayetaka kuvutia wanaume kwa nguo.

Simpendi huyu ****** kwa mambo yake lkn hili la nguo sasa ni kumuonea. Hatufanyi fashen shoo kwenye mwili wa rais bana

Mkubwa kama yeye hana kazi ya kuchagua nguo za kuvaa, anao watu walioandaliwa kwa kazi hiyo. Labda nao wamepewa maelekezo toka kwa wakubwa wao kuwa mzee aandaliwe nguo ipi anaporudi toka majuu.
 
i don't see the problem, nafikiri kwenye kuvaa inabidi mvaaji awe comfortable na alichokivaa na si fulani atanionaje.
 
Unaweza usione tatizo wewe, lakini walio wengi wanaliona ndio maana tumeona tujadili baada ya kuona linajirudia.
 
Back
Top Bottom