Hakuna mbunifu wa mavazi ya Rais wetu?

Ndio staili yake jamani. tena makoti ya namna hii huwa nayapenda sana, yanauzwa wapi?
 

Attachments

  • Jakaya+KIKWETE.JPG
    Jakaya+KIKWETE.JPG
    247.8 KB · Views: 43
Kwa upande wa mavazi yake mie sioni tatizo kabisa naona yuko powah ...na inawezekana mbunifu wake ndo anampangia
 
na maelezo mengi kuwa kavaa suruali nyeusi na koti jeupe,Suruali nimeiona ila koti jeupe Mhhhhh... hebu ngoja niagize mjukuu wenu miwani faster.
:juggle:
 
Unaweza usione tatizo wewe, lakini walio wengi wanaliona ndio maana tumeona tujadili baada ya kuona linajirudia.

and i did not talk about walio wengi i said I don't see the problem, remember "I" Hukua na haja ya kutoa maelezo, mwenye kuona tatizo nae aandike mtazamo wake.
 
J.K.ni bitozi. halafu, nguo zake huwa ananua lini, anavaa kwa mda gani na akizichoka huwa zinaenda wapi?
 
Mkuu inaelekea wewe bado unaishi karne ya 3 piece suit-watu wa fashion wameshatoka huko mangi! kati ya vitu nisivyothubutu kumkandia raisi wangu huyu ni suala la mavazi, he is way too far frm most of us!!!!

hivi JK ni rais?mhhh
 
Katika marais wanaojuwa kuvaa na wanaojuwa kupangilia vitu huyu ni namba wani. Washamba msiojuwa kuvaa ndio hamlijui hilo.

Hivi wewe mleta mada una suit ngapi hata uweze kumkosoa Kikwete anavyo vaa?
 
Tazama sense of fashion chini hapo, kwi kwi kwi teh teh teh!

02_12_tmefxj.jpg
 
Hizo ni American suit, zinapendeza sana kama ukipangilia vizuri rangi ya suruali na ya koti.
Watu wengi wamezoea British suit, ambazo ni full rangi moja suruali na koti ndio maana wana maono tofauti.
 
Tazama sense of fashion chini hapo, kwi kwi kwi teh teh teh!

02_12_tmefxj.jpg

Dr Slaa hapa ndio kabisaaa kafuka kwelikweli. Hicho kiatu alichovaa na hayo magwanda ya jogging wapi na wapi! Au walimshutukisha kumtupia bila maandalizi?
 
M'mbulu atajulia wapi kuvaa jamani! M'kwere show ndo mahali pake, na vile mlimchagua kutokana na sura na pamba nyepesi, he is the best president ever. Ametimiza ndoto za waliomchagua.
 
wewe ni kwanini umesema raisi anavaa vibaya? hiyo ni sense yako wewe na hamna mtu wa kukuingilia na yeye yuko comfortable na mavazi yake muache avae anavyotaka na kizuri ni kwamba anava kiheshima tu rangi anavaa anazojua yeye sioni sababu ya kumuingilia katika hilo.
 
Kiongozi,

Mavazi kwa watu wazito yana tafsiri yake na si sawa na sisi.....halafu hakuna suti iliyovaliwa karne ya 3....suti zimekuja karne ya 19

Hukunielewa bosi nimezungumzia karrne ya 3 piece suit! isipokuwa nakubaliana na wewe kwamba viongozi wa aina yake hawastahili aina fulani ya mavazi
 
karibu.JPG
karibu1.JPG


Kama Rais wetu ana mbunifu wa mavazi anabeba lawama kwa vile mvao huo suruali nyeusi na koti nyeupe haviendani. Mara kadhaa nimeona mvao huo nikafikira labda ni kwa bahati mbaya, lakini sasa inaelekea hali imezoeleka.

Hata hivyo wamejitahidi sana kumconvice avae hivyo huenda alikuwa anapendelea sana avae ile mitisheti yenye mipicha mgongoni na micheni kibao.
 
Back
Top Bottom