Hunizidi mimiDinner with sunset, Breakfast with sunrise. Napenda sana hii kitu.
Ni PM tuangalie uwezekano wa kwenda hapo weekend moja.Hunizidi mimi
Ni PM tuangalie uwezekano wa kwenda hapo weekend moja.
Una mashaka na mimi?
Hiyo si sawa na kujitoa sadaka mkuu?
Kuna vurugu sana huko PM.Dah, JF full kutongoza kila opportunity haipitwi.
Hapana mkuuUna mashaka na mimi?
Acha umbea weweDah, JF full kutongoza kila opportunity haipitwi.
Ok ngoja ipite hivi!Hapana mkuu
Hiyo si sawa na kujitoa sadaka mkuu?
Nikitia mguu zenj hapo lazima maana kw 175000 n affordableHoteli hii inamilikiwa na Mjerumani. Ipo KM 15 kazkazini mwa Stone Town, Zanzibar (nusu saa kwa taxi kutoka feri). Villa inaanza US$80 / TShs 175,000 kwa siku.
sasa picha imepigwa na majini au ?Mbona hakuna watu?!