MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 18,857
- 38,619
nia yake ni kupiga picha hotel kama wewe unataka watu kapige weweHizo zilizopigwa!
nia yake ni kupiga picha hotel kama wewe unataka watu kapige weweHizo zilizopigwa!
Hahahaaaaa dahMbona hakuna watu?!
Nikitia mguu zenj hapo lazima maana kw 175000 n affordable
Lazima niende hapo weekend moja...
Week end utakayotia timu mie ndo ntakuwa waiter, mpishi na room service officer wa siku hiyo.
Unaifahamu hii www.rasikiroko.comLazima niende hapo weekend moja...
Unaifahamu hii www.rasikiroko.com
Napafahamu hapo ni pa kawaida sana.....IPO maeneo ya BububuHoteli hii inamilikiwa na Mjerumani. Ipo KM 15 kazkazini mwa Stone Town, Zanzibar (nusu saa kwa taxi kutoka feri). Villa inaanza US$80 / TShs 175,000 kwa siku.
Hata mimiHunizidi mimi
Lunch with . . . . . . .Dinner with sunset, Breakfast with sunrise. Napenda sana hii kitu.
lunch with moon lightLunch with . . . . . . .
Lazima niende hapo weekend moja...
Dah!! Umasikini mbaya sana....sehemu kama hizi ndio za kwenda kupoteza mawazo na kupooza nafsi.....
Badala yake tunaishia kuogolea kwenye fukwe za coco beach....unaogelea huku kichwa kiko juu kama jogoo....ukirinda nguo...zako maana unaweza ukarudi nyumbani na kibukta ulichokuwa umevaa wakati unaogelea........
Mungu nijaalie kipato cha kuweza kumudu kufika mahali hapo kujumuika na binaadamu wenzangu.....
Amen.....