Dadii JF-Expert Member Nov 14, 2010 748 1,147 Jan 4, 2011 #21 Leornado said: No Comment! Click to expand...
DJ BABU JF-Expert Member Dec 28, 2010 209 0 Jan 4, 2011 #23 dah masela wamebaniwa kinoma, lakini enzi zangu hili si suluhisho
JOYCE PAUL JF-Expert Member Jan 8, 2010 1,005 82 Jan 5, 2011 #24 leornado said: safi sana. Click to expand... safi sana hakuna kudesaaaaaaaaaaaa
MADAM T JF-Expert Member Oct 21, 2010 5,210 2,390 Jan 5, 2011 #25 Inaelekea walizidi kudesa hadi wakatafutiwa dawa hawa, ila jamani mpaka mtihani uishe mtu si atakuwa hoi sana :redfaces::redfaces::redfaces:
Inaelekea walizidi kudesa hadi wakatafutiwa dawa hawa, ila jamani mpaka mtihani uishe mtu si atakuwa hoi sana :redfaces::redfaces::redfaces:
K KakaNanii JF-Expert Member Sep 28, 2008 325 52 Jan 5, 2011 #26 Leornado said: . Click to expand... Yaani hii mbinu ikiletwa hapa Bongo mtu wa kwanza anaweza kupata 0.5 ya mia. Daaah nimeipenda kinomi hii system !!!
Leornado said: . Click to expand... Yaani hii mbinu ikiletwa hapa Bongo mtu wa kwanza anaweza kupata 0.5 ya mia. Daaah nimeipenda kinomi hii system !!!
Jay One JF-Expert Member Nov 12, 2010 16,851 16,748 Jan 6, 2011 #27 sijawahi ona, duuuhh, in my all yrs of academics
Ms Judith JF-Expert Member Dec 24, 2010 2,563 918 Jan 6, 2011 #28 hahaha, hii kali sana. shule gani hiyo? nimeipenda lakini...