Hakuna kupiga chabo...

Hii ipelekwe vyuo vikuu pia. Du wamewaonea hawa watoto!

hahahaa kwa vyuo vya Tanzania lazima waitishe maandamano nchi nzima kupinga hii kitu coz bila chabo watasalimika wachache sana na disco na sup.
 
Ngoja lazima kwa wanafunzi wangu niwafanye hivi siku moja maana wamezidi kudesa sana!! Yaani inatia kinyaa kuona mtu anadesa mpaka majibu yasiyo sahihi!!! Nina uhakika lazima ntakula vichwa kwa style hii. Najua wengine wamo humu, lakini nasema hivi mjiandae, sitajali kama mtafanya kunji!!!!
 
dah nyie watu leo mna nn? ni vituko tu hahahaha UDSM na IFM wataandamana hahahahahahahaah
 
Mambo haya ya chabo yananikumbusha tukiwa Std 3, msichana alipiga chabo sentensi ya kizungu 'My name is Bartrumayo' - Hata alipotakiwa kukiri kosa ili asamehewe alikana katakata, hata alipoadhibiwa kwa fimbo msimamo ukabaki huohuo. Control hii ingempa tabu kwelikweli
 
Hii kali. Kwa mtindo huu Bongo tutaepuka kupata Professor feki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ahahhhhhh
 
Back
Top Bottom