Hakuna kitu kinaleta Stress kama kuota Mvi au upara halafu bado hujajipata

Kumbe sis tuliopata watoto tuliwa kidato cha tatu tumeshajipata

Yaani ukiwajali na chochote ukipatacho raha sana.
Kwenye haya maisha hakuna chochote utakachokifanya au kukiacha cha thamani kuliko kuacha watoto(uzao).
Kuzaa ndio mafanikio makubwa kwa kiumbe yeyote kuliko kuwa na majumba, magari na viwanda.

Kuzaa ni kufanya maisha na uhai uendelee.

Jumba utakalojenga sasa hivi ni old fasheni kwa miaka 100 ijayo.
Gari utakalonunua hivi leo ni old fasheni kwa miaka 10 tuu ijayo.
Lakini watoto ulionao hivi leo hata ipite miaka 1000 hawawezi kuwa old fasheni kwani ni endless circle
L
 
Tatizo la wasomi wengi mnadhani Uzunguni ni huku Afrika.
Alafu mnavunja kanuni ya kila jambo lina wakati wake.

Kiafrika ukifikisha miaka 45 na bado hauna muelekeo hiyo ndio imeisha kwa waliowengi. Hizo Exceptional cases za wanaotoboa uzeeni usipende kuziendekeza. Hao ni éxceptional ni wateule
Akitoboa mwafrika kwa umri huo mnasema ni freemasson, akitoboa mzungu umri huohuo mnasema wao ni excepional a.k.a wateule. Jamaa, jipigepige hapo kifuani halafu sema kwa sauti mimi ni fala.
 
Yaani ukiwajali na chochote ukipatacho raha sana.
Kwenye haya maisha hakuna chochote utakachokifanya au kukiacha cha thamani kuliko kuacha watoto(uzao).
Kuzaa ndio mafanikio makubwa kwa kiumbe yeyote kuliko kuwa na majumba, magari na viwanda.

Kuzaa ni kufanya maisha na uhai uendelee.

Jumba utakalojenga sasa hivi ni old fasheni kwa miaka 100 ijayo.
Gari utakalonunua hivi leo ni old fasheni kwa miaka 10 tuu ijayo.
Lakini watoto ulionao hivi leo hata ipite miaka 1000 hawawezi kuwa old fasheni kwani ni endless circle
L
Ni kweli watoto ni muhimu ila ata hizo pesa na majumba tusiache kuwa nazo cha muhimu afya na uzima tu.
 
Yaani ukiwajali na chochote ukipatacho raha sana.
Kwenye haya maisha hakuna chochote utakachokifanya au kukiacha cha thamani kuliko kuacha watoto(uzao).
Kuzaa ndio mafanikio makubwa kwa kiumbe yeyote kuliko kuwa na majumba, magari na viwanda.

Kuzaa ni kufanya maisha na uhai uendelee.

Jumba utakalojenga sasa hivi ni old fasheni kwa miaka 100 ijayo.
Gari utakalonunua hivi leo ni old fasheni kwa miaka 10 tuu ijayo.
Lakini watoto ulionao hivi leo hata ipite miaka 1000 hawawezi kuwa old fasheni kwani ni endless circle
L
Brother hii ni nondo ya maana sana yani. Vijana wajifunze ujana ni kipindi kifupi sana kwenye maisha ya mwanadamu.
 
Usiombe hiyo hali ikukute mazee! Kwanza hata ukienda vibaruani lazima uzinguliwe na matajiri kwa sababu wanajua huna chaguo, alafu mbaya zaidi lazima wakuzungushe kwenye malipo. Alafu ukijaribu kuwa mshari wanakuambia hayo mambo waachiw vijana ilhali wewe mwenyewe ndio kwanza upo miaka 35. Kudadadeki! Innalilah wainalilah Rajuun!
🤣🤣🤣😅😂😂we jamaa umetumwaa mi nilijua nafanyiwa kusudi labda kwenye malipo yangu kumbe ndio zao hizi..dah...
 
Upo sahihi.
Angalizo ni kuwa pesa tafuta lakini zisije zikakupotezea muda ukashindwa kufanya mambo ya msingi kama kuwa na familia. Familia ndio jambo la muhimû kuliko pesa.

Ingawaje pesa inailinda familia
Nimekua na mtoto sijamaliza kusoma nipo kidato cha tatu , sina ata Mia, sasa naona tunafukuzia wote totoz😁 unachokisema nakuelewa mkuu.
 
😀😀
Afrika huku ukishakuwa umepitwa na wakati au umechakaa jua upo kwenye mazingira hatarishi ya kunyanyaswa na kukandamizwa.

Kuna Watu hawatanielewa mpaka wafikie hatua hiyo ndio watakuelewa
 
🤣🤣🤣😅😂😂we jamaa umetumwaa mi nilijua nafanyiwa kusudi labda kwenye malipo yangu kumbe ndio zao hizi..dah...
😀😀
Afrika huku ukishakuwa umepitwa na wakati au umechakaa jua upo kwenye mazingira hatarishi ya kunyanyaswa na kukandamizwa.

Kuna Watu hawatanielewa mpaka wafikie hatua hiyo ndio
Nimekua na mtoto sijamaliza kusoma nipo kidato cha tatu , sina ata Mia, sasa naona tunafukuzia wote totoz😁 unachokisema nakuelewa mkuu.
 
Akitoboa mwafrika kwa umri huo mnasema ni freemasson, akitoboa mzungu umri huohuo mnasema wao ni excepional a.k.a wateule. Jamaa, jipigepige hapo kifuani halafu sema kwa sauti mimi ni fala.
Wewe jiulize ni waafrika wangapi umewaona wamejipata wakiwa na miaka zaidi ya 45, lazima uongelee mambo halisi yaliyopo kwenye ground sio narrative
 
Back
Top Bottom