Hakuna kitu kinaleta Stress kama kuota Mvi au upara halafu bado hujajipata

Sijazungumzia swala la familia, nazungumzia uhalisia wa kujipata Bongo ngoma inakwenda 50.

Cha Kwanza Bongo hakuna muendelezo kwenye kumiliki uchumi, ndio maana si ajabu kukuta mtu ambaye 2015 alikuwa njema lakini Leo 2024 kachoka Vibaya hali mbaya na biashara zote zimekwenda kombo.

Ni kweli na ndipo hapo wale waliopata familia mapema na watoto uzeeni hawajutii ukilinganisha na waliochelewa.

Tafuta Watu hapa Bongo waliochelewa Kupata watoto na Wana umri mkubwa watakuambia nini wanapitia.
 
Ni kweli kabisa
Ila linapokuja suala la kazi na kuajiriwa umri ni kigezo muhimu sana ili uajiriwe.
Umri utakaoutaja lazima waajiri waulinganishe na Physical appearance yako.
Kuliko vyeti ambavyo unaweza kuchakachua
Ni swala la kujitunza Kwa kuzingatia mitindo bora ya Maisha Kama

Kula nutrition
Kufanya maozezi
Na kupata muda wa kupumzika.
Kupunguza pombe au kutotumia kabisa na kutoendekeza NGO no n.k

Kipara kikija au mvi bado utaendelea kuwa energetic tu.

Sasa now days vijana they are too drunker , sex , na kula wanakula Kwa mashaka hivyo ikitokea akapata mvi anaonekana amezeeka kweli kum be sio.

Mfano wewe mtibeli hata ukapata upara na Mvi bado utaendelea kuonekana kijana kutokana na lifestyle yako unayoishi.
 
IMG_5496.jpg

Kutoboa maisha hakuna umri rasmi. Incase u did'nt know.
 
Ni kweli Mkuu.
Ishu ni kuwa kundi kubwa la vijana hawawezi kuwa na lifestyle kama yangu kwa sababu wanashindwa kujizuia na vitu vitamu na kutàka kuvutia Watu wengine.

Kwa mfano kijana mdogo hata miaka 30 hana anahangaika kuweka nywele kokoto na kemikali. Kisa anapata miambili miatatu, kumbuka bado hajajipata. Anapata madudw usoni mara scrub Kwa sana.
Siku akifulia ndio mambo huwa Mabaya.
 
View attachment 2889503
Kutoboa maisha hakuna umri rasmi. Incase u did'nt know.

Tatizo la wasomi wengi mnadhani Uzunguni ni huku Afrika.
Alafu mnavunja kanuni ya kila jambo lina wakati wake.

Kiafrika ukifikisha miaka 45 na bado hauna muelekeo hiyo ndio imeisha kwa waliowengi. Hizo Exceptional cases za wanaotoboa uzeeni usipende kuziendekeza. Hao ni éxceptional ni wateule
 
Yes
Ni kweli Mkuu.
Ishu ni kuwa kundi kubwa la vijana hawawezi kuwa na lifestyle kama yangu kwa sababu wanashindwa kujizuia na vitu vitamu na kutàka kuvutia Watu wengine.

Kwa mfano kijana mdogo hata miaka 30 hana anahangaika kuweka nywele kokoto na kemikali. Kisa anapata miambili miatatu, kumbuka bado hajajipata. Anapata madudw usoni mara scrub Kwa sana.
Siku akifulia ndio mambo huwa Mabaya.

Kweli Kujizuia vitu vitamu inaweza kuwa ngumu Ila faida zake ni kubwa Sana
 
Yes

Kweli Kujizuia vitu vitamu inaweza kuwa ngumu Ila faida zake ni kubwa Sana

Vijana wengi wa sasa hujidanganya na kauli ya kuwa umri ni number tuu wakati moja ya kigezo cha kiumbe chochote ni Umri.
Kama unamwanzo na ulikuwa nyororo basi jua unamwisho na mwisho huja kwa kusinyaa na kuchoka.

Mtu anajipaka mafuta makali mwilini, anakunywa vinywaji vikali. Miaka 30 tuu anaonekana mzee bado hajajipata hapo. Niambie anafikaje miaka 60 ikiwa tayari anazeeka kabla ya muda?
 
Kuna braza bro mmoja wa kitaa yupo kwenye miaka 37 ila kajaa mvi kinoma kichwani na kwenye ndevu hadi nimeogopa kumbe uzee ni mapema hivyo kabla hata hujafika 40?

Kuna uzee wa asili na upo uzee wa kujitakia.

Ukizingatia afya mpaka unafikisha miaka 59 bado unaonekana kijana tuu.
Ishu ni kuwa wangapi wanaelimu ya Afya
 
Kanuni za Afrika ni ngumu sana Mkuu.
Kuajiriwa tuu Watu wanaangalia vitu vingi ikiwemo Physical appearance ya MTU.
Hata kwenda kuchumbia ni vivyohivyo.

Ni kweli Upara na mvi ni ishu ya kijenetiki lakini huwezi kuvitenganisha na kuzeeka.
Kipara na Mvi ni sehemu ya uzee.
Na pia stress, lishe mbovu na kukosa muda wa kupumzika unafanya mvi au kipara kitokee mapema.
 
Ni swala la kujitunza Kwa kuzingatia mitindo bora ya Maisha Kama

Kula nutrition
Kufanya maozezi
Na kupata muda wa kupumzika.
Kupunguza pombe au kutotumia kabisa na kutoendekeza NGO no n.k

Kipara kikija au mvi bado utaendelea kuwa energetic tu.

Sasa now days vijana they are too drunker , sex , na kula wanakula Kwa mashaka hivyo ikitokea akapata mvi anaonekana amezeeka kweli kum be sio.

Mfano wewe mtibeli hata ukapata upara na Mvi bado utaendelea kuonekana kijana kutokana na lifestyle yako unayoishi.
Unafanya hao yote unagongwa na boda boda una kuwa kiwete
 
Back
Top Bottom