Mliozaliwa kuanzia 1990 hadi 1997 someni hapa, msome Kwa umakini

buzitata

JF-Expert Member
Apr 11, 2017
1,997
7,068
Habari zenu vijana (Mimi pia ni kijana)

Kama upo ndani ya huo umri nilioutaja hapo juu nnaomba unisikilize Kwa makini hasa wale ambao wanajiona Bado ni wadogo.

Sasa ivi wewe kijana upo katika umri wa kujijenga kiuchumi wewe pamoja na familia iliyopo kiunoni mwako

Leo hii wewe tunakuita kijana lakini tambua wengi wenu mmebakiza Miaka 16 had 20 Ili mtimize Miaka 50, (nyinyi ndo mtakua wazee na sio nguvu kazi ya taifa).

Kama huna mtoto jitahidi sana usivuke hii Miaka miwili bila kutafuta mtoto au watoto ikiwezekana. Sio vizuri mzazi kuona mtoto wako wa kwanza anamaliza form 4 wakati huo wewe mvi zimetanda kichwani(Kuna baadhi ya vitu utashindwa kuvitekeleza kama mzazi Ili mwanao apate malezi Bora)

Kwa huu umri wa sasa jitahidi sana uwe na kiwanja hata kimoja tu(siku izi wapo watu wengi wanauza viwanja had vya laki sita Tena unalipia Kwa awamu)

Piga ua garagaza ukitimiza Miaka 40 uhamie kwako (hakuna kinachoshindikana wewe jibane na punguza matumizi, nyumba inahitaji tofali 4500 tu Ili isimame na tofali Moja linauzwa kati ya 1000 mpaka 1500.
Haipendezi mtu kuzeekea kwenye nyumba ya kupanga jitahidi ukifikisha Miaka 40 uwe na mji wako.

Kwa umri huu wa sasa usitegemee Kuna ndugu Wala rafiki anahitaji kukusaidia sasa ivi ukiona mtu anakusaidia ujue ananufaika Kwa kiwango kikubwa kupitia wewe, tengeneza mrija wako wa kujipatia fedha za kuendesha maisha Yako usitegemee Kuna mtu anapenda ufanikiwe kumzid yeye.

Pombe ni nzuri hasa ikiwa wine na Tena unakunywa Kwa ustaarabu ila bia na mabapa huharibu uchumi na afya
 
wine zina radha mbaya babuu kitu cha konyagi kidogo stimu hizo mpaka unajikojolea...😂
 
Akili kubwa sana.

Umetukumbusha vijana ukweli ambao wengi hatupendi kuusikia.

Kuna watu watakuja kusema umeandika pumba na kusema kwamba usiwapangie maisha lakini moyoni wakiamini kabisa ulichokisema ndio ukweli.
 
Back
Top Bottom