Hakuna Haraka Kubadilisha Noti.

Dindai Ndesi

Member
Dec 5, 2010
16
0
Gavana wa Banki Kuu alipokuwa anatangaza kuanza kwa matumizi ya Noti mpya hapo January Mwakani 2011, alisisitiza hakuna mda maalumu wa mwisho kubadilisha matumizi ya hizi Noti zinazotumika sasa, hivyo watu wasikimbilie kwenda kuzibadilisha. Zitabaki ni fedha halali mpaka hapo zitakapo potea katika mzunguko.

Hapa Nyumbani, hasa sehemu za Mijini watu hukimbilia mwanzoni kutaka kuwa na toleo la Noti mpya mapema. Mdani ya Miezi miwili ni dhahiri Noti mpya zitakuwa zimetapakaa sehemu mwingi.

Tatizo (usumbufu), kwa wale wenzangu na Mimi ambao tutakuwa hatujabadilisha Noti zetu, upo uwezekano mkukwa wa kukosa huduma pindi unapotaka kutumia Noti ya zamani. Wengi wa wafanyabiashara wadogo Mitaani ,( e.g chips, Pub, Magenge nk. ) hawatapokea Noti za zamani.

Hapa Sheria Inasemaje?, Mtu ( Mfanyabiashara ) anapokataa kupokea fedha halali kwa mujibu wa tangazo la Gavana wa Bank Kuu. Pia ukiwa mmoja wao wa watu waliokosa huduma kwa kuwa na Noti ya zamani , utatakiwa kufanya nini?
 
Hawapaswi kukataa. Kimsingi wewe nenda benki kadeposit (km unapesa nyingi) kisha draw. Utaingia transaction costs kidogo utapata noti mpya.
Hapo mie naona kuna hoja moja ya msingi. Kama gavana anasema hakuna uharaka wa kubadilisha noti za zamani upate mpya kwanini na wenyewe wasingesubiri kama hakuna huo uharaka ili kuokoa pesa za kuchapisha? Maana kama hakuna uharaka inamaana yale madhara ya pesa za zamani yataendelea kuwepo.
 
Hiyo kauli ya Gavana (kama ni kweli) ni ya kijinga!

Lazima kutakuwa na mkanganyiko pale noti mpya zitakapoingia kwenye mzunguko - Kwa hiyo kimantiki lazima kuwe na cut-off period - Huwezi kusema hakuna u-haraka, if so, kwamba hakuna haraka, kwa nini ulichapisha noti mpya? BOT wanatakiwa kutoa muda wa mwisho wa noti za zamani kutumika na sio blah blahs! shame on you Gavana!

Taaluma inapoingiliwa na Siasa ni jambo la hatari sana.
 
Hawapaswi kukataa. Kimsingi wewe nenda benki kadeposit (km unapesa nyingi) kisha draw. Utaingia transaction costs kidogo utapata noti mpya.
Hapo mie naona kuna hoja moja ya msingi. Kama gavana anasema hakuna uharaka wa kubadilisha noti za zamani upate mpya kwanini na wenyewe wasingesubiri kama hakuna huo uharaka ili kuokoa pesa za kuchapisha? Maana kama hakuna uharaka inamaana yale madhara ya pesa za zamani yataendelea kuwepo.

yaani we ndugu yangu huna akili kabisa kama ulifika chuo na kumaliza basi ulikuwa mdesaji mzuri sana. yaaaaaaani ni kichefuchefu kitupu. natamani nikupasue kibao kwa huu utumbo wako.. :whoo:
 
Usipate shida, tujadili hoja ya huo ujinga wangu halafu tuone nani ni mwelevu.
 
Back
Top Bottom