Haki za wanyama...sijui alikosa nini

Easymutant

R I P
Jun 3, 2010
2,564
1,129
255641_10150621414880562_887330561_18733971_1436879_n.jpg

Nimeshidwa kuelewa alikosa nini
 
ukiwaona vizuri utagundua kuwa ni wahuni tu, tena sura zao zinaonesha ni wavuta bangi. kimsingi wanyama nao wana haki zao kisheria ila nani wa kuwasimamia kulinda haki zao ndo tatizo kwani hakuna.
 
What you can learn from a man who treats something like that; that way....
 
walikosa kazi za kufanya,wanyama wana haki zao pia . sasa nini kosa la kusulubiwa hivyo,akili zao ni za kinyama .
 
Kama mpenda wanyama inaniuma sana ninapoona mnyama anakuwa misTreated na wapuuzi flani.. It's not fair at all.. Take care Dr Manyaunyau ntakutembelea siku moja n I think hutotumia tena wanyama kwenye ushirikina wako..
 
Nao akili zao ni mbaya kuliko hata za mnyama,

mnyama hawezi mtesa mnyama mwenziwe namna ile
 
hakuna mwanaume mwenye kazi za kumtosha na ukamkuta anafanya huo ujinga..! hawana kazi hawa..!
 
Kama hawa waliofanya kitendo hiki wakikamatwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria, matukio ya namna hii yatapungua. Imekuwa mazoea sasa watu kutesa wanyama, si ajabu kumkuta mchunga ng'ombe akiwatandika bakora bila sababu za msingi au mtu kubeba kuku kwa kuwaning'iniza kwa mabawa yao. Zingatia kuku wengi wa kisasa hifikishwa wanakoenda wakiwa wamevunjwa mabawa kikatili
 
Hao inafaa wachukuliwe hatua za kisheria, ushahidi kamili huo. Nadhani hii ilishawahi kuletwa siku za nyuma hapahapa JF. Zamani kulikuwa kuna TSPCA, wako kweli bado hawa jamaa, maana siku za nyuma niliona pale kwao kuna showroom ya magari.
 
Hao inafaa wachukuliwe hatua za kisheria, ushahidi kamili huo. Nadhani hii ilishawahi kuletwa siku za nyuma hapahapa JF. Zamani kulikuwa kuna TSPCA, wako kweli bado hawa jamaa, maana siku za nyuma niliona pale kwao kuna showroom ya magari.

Naona watakuwa wamekosa ufadhili. Mimi niliona kenya mtu mmoja amepigishwa magoti kwenye kokoto nikauliza kulikoni nikaambiwa amekamatwa ananing'iniza kuku mabawa, nilifurahi sana. Hapa kwetu ni disaster, ingekuwa amri yangu hata hawa wanaofuga mbwa ilhali hawana uwezo wa kuwahudumia ningewafungulia mashtaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom