haki za msingi za binadamu

nyamihela

Member
Mar 15, 2012
5
0
Haki za msingi za binadamu ni zipi? na kama zikivunjwa natakiwa kuchukua hatua zipi na sehemu gani?
haki hizi zimeanza lini na zinapatikana ibara ipi katika katiba?
 
Mkuu chukua katiba ya jamhuri ya muungano wa Tz toleo la mwaka 1977 usome kipengele kinachohusu haki za binadamu
 
Back
Top Bottom