Haki ya kusex na mke aliyekufa!!

CORAL

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
2,789
1,782
Naona orodha ya haki za binadamu inazidi kupanuka. Tumesikia sheria zikitungwa kulinda haki za mashoga, wasagaji. Sasa nchini Misri wanaume wanadai haki ya "kuwaaga" wake zao waliokufa kabla hawajazikwa!! Umeipata hiyo? Msinichoshe nisiwachoshe soma gazeti la BMETRO la Zimbabwe.
 
Huo ni uroho wa ngono uliopitiliza kifani na wala siyo haki za binaadamu.
 
Ni kweli lakini ni within 24hrs zaidi ya hapo imekula kwako ssasa kwa wale wenye tabia ya kuacha wake zao kijijini imekula kwao maana huwezi ku manage kufika huko within 24 hrz tangu avute
 
Juu ya nini sasa?

Sote tunajiuliza, yaani inatisha. Nilikuwa naangalia tv, wanawake nchini Misri wanadai kuwa kwao mageuzi ndio kwanza yameanza. Kumbe ni kweli!
 
Huo ni ushetani. Nani kasema ukisex na maiti yake ndio njia isiyosahaulika ya kumuaga mkeo? Ni fikra potofu zinachochewa na roho ya kiibilisi
 
Naona orodha ya haki za binadamu inazidi kupanuka. Tumesikia sheria zikitungwa kulinda haki za mashoga, wasagaji. Sasa nchini Misri wanaume wanadai haki ya "kuwaaga" wake zao waliokufa kabla hawajazikwa!! Umeipata hiyo? Msinichoshe nisiwachoshe soma gazeti la BMETRO la Zimbabwe.

Na mume akifariki, haki ya mke inakuwaje? Au inabidi bunduki iamshwe kwa umeme?
 
Na mume akifariki, haki ya mke inakuwaje? Au inabidi bunduki iamshwe kwa umeme?
imeongelewa Clouds FM kwenye njia panda ! Alialikwa Doc, mwanasheri kisha msomi wa Sheria za Kiislaam, ilikuwa raha. Wagala waliappreciate !
 
Ni zaidi ya uhayawani na rituals za kishwetani tu, yaani umefiliwa na mke na dhakari unasimamisha hizo ashiki unazitoa sehemu gani aghhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Hii kweli ni dunia ya 3, lakini hii habari nimeshaisikia maeneo ya Lindi na Mtwara wana mila hizo za kuagana kwa kudo na maiti ya mwenzi wake, mke au mume na inasemekana kunawatoto wamezaliwa kwa mama kudo na maiti ya mumewe kabla haijapoa na mwanamke anapata mimba, vilevile nilisikia hayo maajabu kwenye kipindi cha njia panda clouds fm jumapili ya tarehe 13/6/2012.
MUNGU tuokoe kwa mambo yanayoibuka sasa hapa duniani.
 
Na mume akifariki, haki ya mke inakuwaje? Au inabidi bunduki iamshwe kwa umeme?

Yaani kazi ipo. Tena sheria ndio imetungwa sasa hivi. Ina maana mageuzi waliyoyataka yanazidi kuzika haki za wanawake.
 
Ni zaidi ya uhayawani na rituals za kishwetani tu, yaani umefiliwa na mke na dhakari unasimamisha hizo ashiki unazitoa sehemu gani aghhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh

Jitahidi kujizuia usije tapika, maana inatia kichefuchefu.
 
Hii sasa ni zaid ya sodoma na gomora. Kweli hizi ni siku za mwisho. Ee Mungu tunusuru na hili.
 
Back
Top Bottom