Urais wa Kifalme, Haki ya kuteua cheo chochote hata kama ni kinyume na Katiba!

gstar

JF-Expert Member
Jun 19, 2011
759
1,250
Wana jukwaa nawasalimu. Mimi nimoja kati ya wengi walio shtushwa na tukio la kuteuliwa kwa naibu waziri mkuu mheshimiwa Dr. Dotto Biteko, bila shaka panapofuka moshi hapakosi moto. Kuna jambo kubwa lipo chini ya pazia.

Malalamiko ya mkataba wa DP World wakuu wa nchi waliziba masikio, mpaka alipotokea mtu mwenye damu ya ki JPM na kumshauri mama kuachana na jambo hilo kwani linaligawa Taifa, "Sisi watendaji wa serikali tunapata wakati mgumu sana wa kulitetea jambo hili mbele ya wananchi." Alisikika mtonyaji.

"Ni ngumu kurudisha majeshi nyuma, kwani mkataba umesha sainiwa, kama umeshindwa kwenda na maono yangu kaa pembeni," atamtoaje Majaliwa wakati tayari ameidhinishwa kikatiba? litakuwa jambo gumu sana na huwenda likazusha taharuki kubwa katika nchi. Suluhisho ndio hili, kikao cha TISS kiliamua kwamba apewe msaidizi.

Ni kwamba kama msaidizi wako atapewa majukumu yote unayofanya wewe automatically wewe utakuwa ni kama haupo tena, 'smooth criminal,' wanakuchinja huku wanakuchekea.

Majaliwa ndio tumsahau tena, wazalendo wa kweli ndio wanazidi kudhibitiwa. Mtonyaji anasema kwamba DP World wapo mbioni kutia nanga zao hapo bandarini Dar-es-Salaam mapema mwezi Oktoba, na kwakuwa kila kitu kipo sawa, kilichobaki ni kuimarisha idara ya propaganda na udhibiti wa wachache wenye kidomodomo. Tusishangae hapo mbeleni watu wengi wakapotezwa kusiko julikana.

Uteuzi huu ni kinyume na katiba, japo watetezi na mapropangandisti wanadai kwamba raisi amepewa haki ya kuteua cheo chochote atakacho, wanasahau kwamba kuna mazingira yanayofaa kuwepo kuhalalisha uteuzi huo. Kama waziri mkuu yupo na ana afya njema ni kwanini tena kuteua mtu mwengine wa kumsaidia kazi? Tafsiri ya haraka ni kwamba wamempoka cheo hicho kimya kimya. Wale mlio soma Kyuba nadhani mtakuwa mmenielewa!

Atukuzwe Baba na Mwana na Roho mtakatifu...
 
Acha upoyoyo mkata

Acha upoyoyo mkataba imeshapita tunasubiri utekelezaji. Kuhusu katiba rudi darasani utaielewa, we sahivi kinachokusumbua ni ujinga
 
Mahakqma zina kazi gabi kwani?
 
Back
Top Bottom