Hajawahi kuniambia kama namridhisha

Sio mpaka akwambie bhana, wakati mwingine waweza kuzisoma hisia zake we mwenyewe, mwendo wenu, response yake pind mfanyapo lile teno. Km huwezi hata kuelezea hisia za mwenzako ni dhahili humlidhishi. Jirekebishe bwana!
 
Mbona fikirini unaniridhisha sana tu mpenzi wangu? yaani mpaka uje kuuliza watu humu? ina maana huoni kile kilio na vimachozi vinavyonitoka kweli, ina maana huoni navyolegea kweli, huoni navyokuchekea na kukufanyia kila unaloniambi, darling wangu tafadhali funga thread tukajadili home
 
Back
Top Bottom