hiyo nchi hakuna namna inapaswa kuchapwa nuclear wafe wote nchi ianze moja.View attachment 2931549
Sikuwahi kuona binadamu anamla binadamu mwenzie, ila Hawa Gangs wa Haiti ni balaağŸ˜
hiyo nchi hakuna namna inapaswa kuchapwa nuclear wafe wote nchi ianze moja.View attachment 2931549
Sikuwahi kuona binadamu anamla binadamu mwenzie, ila Hawa Gangs wa Haiti ni balaağŸ˜
waliogopa kufanywa watumwa kwa kipindi hicho utumwa ulikuwepo kisawasawa Marekani.Ndo mkuu rais Andrew Johnson wa marekani 1868 alitaka kuinunua. Wahaiti wakakataa
Hv anainunuaje? Yaan hela anapewa naniNdo mkuu rais Andrew Johnson wa marekani 1868 alitaka kuinunua. Wahaiti wakakataa
unaijua rwanda na kagame??Mzuka wanajamvi!
Haiti inahitaji kiongozi kama Paul Kagame wa Rwanda. Mkali strict katili na dikteta.
Ambaye akitawala alete hofu, nidhamu na utii wa sheria.
Kukiwa na utawala kama huu niliulezea kwenye hii nchi baada ya miaka kumi Haiti itakuwa kama Rwanda.
Upuuzi unaendelea Haiti unahuzunisha nakutuaibisha sana watu weusi.
Sasa hivi wanajuta kwa nini mababu zao karne ya 18 walikataa offer ya marekani kuinununua Haiti walivyofanya Alaska.
Wangekuwa wana kula bata tuu sasa hivi.Ndo mkuu rais Andrew Johnson wa marekani 1868 alitaka kuinunua. Wahaiti wakakataa
Niliwahi kumsikia PLO Lumumba anasema Ufaransa wana mkono wao na wameapa Haiti haitakaa ijue amani na kuepuka umasikini
Congress na senate. Wee si umeona hela ya Ukraine process inayopitia hadi sasa hivi bado. Siyo kama Jiwe alikuwa anakurupuka tu usiku wa manane na kumega hazina na kununua wapinzani uchwara kina katambi na mtatiroHv anainunuaje? Yaan hela anapewa nani
Kama Hawaii ilinunuliea 1893W
Wangekuwa wana kula bata tuu sasa hivi.
Acha utani kumbe na hawaii ili nunuliwa na Marekani pia ?! Basi wange nunua na Tanzania tuu aiseeKama Hawaii ilinunuliea 1893
Naunga mkono hojaMzuka wanajamvi!
Haiti inahitaji kiongozi kama Paul Kagame wa Rwanda. Mkali strict katili na dikteta.
Ambaye akitawala alete hofu, nidhamu na utii wa sheria.
Kukiwa na utawala kama huu niliulezea kwenye hii nchi baada ya miaka kumi Haiti itakuwa kama Rwanda.
Upuuzi unaendelea Haiti unahuzunisha nakutuaibisha sana watu weusi.
Sasa hivi wanajuta kwa nini mababu zao karne ya 18 walikataa offer ya marekani kuinununua Haiti walivyofanya Alaska.
Ni kamanda gani huyo.? MtajeniUliposema hotelini nchini marekani ni tayari hilo la marekani ndiyo jibu.
Ipo hivi, nchi za magharibi hazipendi kuona mataifa yenye raia ngozi nyeusi wana amani tena ukute hawana maslahi nayo.
Walijua kamanda anaelekea Haiti kwa lengo gani ilihali wao na ile secret family wanataka damu imwagike na watu wapungue wakaona wampunzishe fasta tu, anaenda kuharibu deal.
Mfano hapo DRC unadhani makundi yote yanayoipinga serikali hadi M23 kwenye rada hayaonekani?, wote wanaonekana ila pale DRC kuna maslahi yao, so wanataka watu wafe huku wanaiba mali.
Fuatilia kuanzia story ilipoanzia.Ni kamanda gani huyo.? Mtajeni
Kwahiyo wewe ukasupport bila kujiridhisha kwa taarifa za huyo kamanda? Nimesoma thread yote na sijaona jina wala chanzo cha habari kuhusu huyo kamanda wa jeshi la Kenya. Itakuwa vyema kama mkileta source ya hiyo taarifa hapaFuatilia kuanzia story ilipoanzia.
ww nae n mkatili wafe wote?? nikafikiri labda utazungumzia special force ambazo huwa zinasifika duniania lkn nazo zimenyamaza kimya so sad.hiyo nchi hakuna namna inapaswa kuchapwa nuclear wafe wote nchi ianze moja.
Wafe wote wanzishe kilimo chambogamboga hapohiyo nchi hakuna namna inapaswa kuchapwa nuclear wafe wote nchi ianze moja.