Haiti inahitaji sasa hivi kama Kagame

Mzuka wanajamvi!

Haiti inahitaji kiongozi kama Paul Kagame wa Rwanda. Mkali strict katili na dikteta.

Ambaye akitawala alete hofu, nidhamu na utii wa sheria.

Kukiwa na utawala kama huu niliulezea kwenye hii nchi baada ya miaka kumi Haiti itakuwa kama Rwanda.

Upuuzi unaendelea Haiti unahuzunisha nakutuaibisha sana watu weusi.

Sasa hivi wanajuta kwa nini mababu zao karne ya 18 walikataa offer ya marekani kuinununua Haiti walivyofanya Alaska.
unaijua rwanda na kagame??
au umesema kwa bahari mbaya
 
Hv anainunuaje? Yaan hela anapewa nani
Congress na senate. Wee si umeona hela ya Ukraine process inayopitia hadi sasa hivi bado. Siyo kama Jiwe alikuwa anakurupuka tu usiku wa manane na kumega hazina na kununua wapinzani uchwara kina katambi na mtatiro
 
Mzuka wanajamvi!

Haiti inahitaji kiongozi kama Paul Kagame wa Rwanda. Mkali strict katili na dikteta.

Ambaye akitawala alete hofu, nidhamu na utii wa sheria.

Kukiwa na utawala kama huu niliulezea kwenye hii nchi baada ya miaka kumi Haiti itakuwa kama Rwanda.

Upuuzi unaendelea Haiti unahuzunisha nakutuaibisha sana watu weusi.

Sasa hivi wanajuta kwa nini mababu zao karne ya 18 walikataa offer ya marekani kuinununua Haiti walivyofanya Alaska.
Naunga mkono hoja
 
Uliposema hotelini nchini marekani ni tayari hilo la marekani ndiyo jibu.

Ipo hivi, nchi za magharibi hazipendi kuona mataifa yenye raia ngozi nyeusi wana amani tena ukute hawana maslahi nayo.

Walijua kamanda anaelekea Haiti kwa lengo gani ilihali wao na ile secret family wanataka damu imwagike na watu wapungue wakaona wampunzishe fasta tu, anaenda kuharibu deal.

Mfano hapo DRC unadhani makundi yote yanayoipinga serikali hadi M23 kwenye rada hayaonekani?, wote wanaonekana ila pale DRC kuna maslahi yao, so wanataka watu wafe huku wanaiba mali.
Ni kamanda gani huyo.? Mtajeni
 
Fuatilia kuanzia story ilipoanzia.
Kwahiyo wewe ukasupport bila kujiridhisha kwa taarifa za huyo kamanda? Nimesoma thread yote na sijaona jina wala chanzo cha habari kuhusu huyo kamanda wa jeshi la Kenya. Itakuwa vyema kama mkileta source ya hiyo taarifa hapa
 
hiyo nchi hakuna namna inapaswa kuchapwa nuclear wafe wote nchi ianze moja.
ww nae n mkatili wafe wote?? nikafikiri labda utazungumzia special force ambazo huwa zinasifika duniania lkn nazo zimenyamaza kimya so sad.
 
Back
Top Bottom