Hadi sasa waislamu ndio wanaoongoza kwa waumini wengi wenye imani moja Tanzania. Wakristo wamegawanyika madhehebu mengi yasiyo na ushirikiano

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,034
Muhimu: Uzi huu umejikita kwa mazingira ya Tanzania na sio nchi za nyingine

Hii ni kwa sababu ya mpasuko mkubwa sana uliotokea katika ukristo, wapo ambao wanataka kwenda dhehebu lenye miujiza hawana mda na neno, wapo wanaotaka dhehebu wanaloweza kujichia wakate hata mauno wanavyocheza gospel ndani ya kanisa, wapo wanaotaka dhehebu liwe la jumamosi, wapo wanaotaka dhehebu linaruhusu kula nguruwe, wapo wanaotaka dhehebu linalohamasishwa kunywa pombe kwa kigezo cha mnywaji, wapo wanaotaka dhehebu la kuhuburi kwa nguvu na kukekemea utafkiri wanaemuomba ni kiziwi.

Wapo wanaotaka dhehebu linaloruhusu wanawake kuhubiri, wapo wanaotaka dhehebu linalombana padre asije kujamiana maisha yake yote ilhali ni mwanaume rijali mwenye matamanio , wapo wanaotaka kubatizwa kwa kutumia kikombe cha chai na si kuzamishwa, n.k

Mipasuko ya madhehebu inaendelea kila tofauti zinapotokea, mpaka hapa tulipo kuna madhehebu yapatayo zaidi ya mia ya kikristo nchini Na kila dhehebu linadai kuwa lipo sahihi kuliko lingine

Katika Watanzania 100 unaweza kukuta waislmu 35 (kati ya hawa utawakuta 33 dhehebu kuu napengine wawili madhehebu mengine), upande wa kikiritsto utawakuta waroma 25, waluteri 15, wasabato 10, na wengine waliobaki wakiwa wamegawanyika kwenye madhehebu kibao huko kwa Masanja mkandamizaji, Tag, Moravian, Mashaidi wa Yehova, efata, kwa kina Gwajima, Lusekelo, kwa Kakobe, mwamposa, mwakasege , kuhani Musa, jodevi, shila, n.k

Kwa hali hii ambayo wakristo wametenganika sana ni dhahiri kwa sasa waislamu ndio wanoongoza kwa kuwa wengi katika imani moja.
 
290853032_1628244350909346_6840046045118563327_n.jpg
 
Hii ni kwasababu ya mpasuko mkubwa sana uliotokea katika ukristo, wapo ambao wanataka kwenda dhehebu lenye miujiza hawana mda na neno, wapo wanaotaka dhehebu wanaloweza kujichia wakate hata mauno wanavyocheza gospel ndani ya kanisa, wapo wanaotaka dhehebu liwe la jumamosi, wapo wanaotaka dhehebu linaruhusu kula nguruwe, wapo wanaotaka dhehebu linalohamasishwa kunywa pombe kwa kigezo cha mnywaji, wapo wanaotaka dhehebu la kuhuburi kwa nguvu na kukekemea utafkiri wanaemuomba ni kiziwi, wapo wanaotaka dhehebu linaloruhusu wanawake kuhubiri, wapo wanaotaka dhehebu linalombana padre asije kujamiana maisha yake yote ilhali ni mwanaume rijali mwenye matamanio , wapo wanaotaka kubatizwa kwa kutumia kikombe cha chai na si kuzamishwa, n.k

Mipasuko ya madhehebu inaendelea kila tofauti zinapotokea, mpaka hapa tulipo kuna madhehebu yapatayo zaidi ya mia ya kikristo nchini Na kila dhehebu linadai kuwa lipo sahihi kuliko lingine

Katika watanzania 100 unaweza kukuta waislmu 35 (kati ya hawa utawakuta 33 dhehebu kuu napengine wawili madhehebu mengine ), upande wa kikiritsto utawakuta waroma 25, waluteri 15, wasabato 10, na wengine waliobaki wakiwa wamegawanyika kwenye madhehebu kibao huko kwa Masanja mkandamizaji, Tag, Moravian, Mashaidi wa Yehova, kwa kina Gwajima, Lusekelo, kwa Kakobe,

Kwa hali hii ambayo wakristo wametenganika sana ni dhahiri kwa sasa waislamu ndio wanoongoza kwa kuwa wengi katika imani moja.
Umesahau kwa mwamposa,mwakasege , kuhani Musa....
 
Waislamu wana madhehebu makubwa mawili yale ya wastaarabu na wale siasa kali kuchinja mtu dakika tu.Boko haramu ,Alkaida ,ISIS, Alshabab nk nuksi hao hawakai na waiskamu wenzao Bakwata hao washari hatari

Wakristo tunayo madhehebu mengi ila hayana Shari kwa dhehebu lingine au mtu akihama dini au dhehebu harangaziwi fatwa au kifo
 
Hii ni kwa sababu ya mpasuko mkubwa sana uliotokea katika ukristo, wapo ambao wanataka kwenda dhehebu lenye miujiza hawana mda na neno, wapo wanaotaka dhehebu wanaloweza kujichia wakate hata mauno wanavyocheza gospel ndani ya kanisa, wapo wanaotaka dhehebu liwe la jumamosi, wapo wanaotaka dhehebu linaruhusu kula nguruwe, wapo wanaotaka dhehebu linalohamasishwa kunywa pombe kwa kigezo cha mnywaji, wapo wanaotaka dhehebu la kuhuburi kwa nguvu na kukekemea utafkiri wanaemuomba ni kiziwi.

Wapo wanaotaka dhehebu linaloruhusu wanawake kuhubiri, wapo wanaotaka dhehebu linalombana padre asije kujamiana maisha yake yote ilhali ni mwanaume rijali mwenye matamanio , wapo wanaotaka kubatizwa kwa kutumia kikombe cha chai na si kuzamishwa, n.k

Mipasuko ya madhehebu inaendelea kila tofauti zinapotokea, mpaka hapa tulipo kuna madhehebu yapatayo zaidi ya mia ya kikristo nchini Na kila dhehebu linadai kuwa lipo sahihi kuliko lingine

Katika Watanzania 100 unaweza kukuta waislmu 35 (kati ya hawa utawakuta 33 dhehebu kuu napengine wawili madhehebu mengine), upande wa kikiritsto utawakuta waroma 25, waluteri 15, wasabato 10, na wengine waliobaki wakiwa wamegawanyika kwenye madhehebu kibao huko kwa Masanja mkandamizaji, Tag, Moravian, Mashaidi wa Yehova, kwa kina Gwajima, Lusekelo, kwa Kakobe,

Kwa hali hii ambayo wakristo wametenganika sana ni dhahiri kwa sasa waislamu ndio wanoongoza kwa kuwa wengi katika imani moja.
Hata nyie islam hampo pamoja,Kuna ambao hawaamini Hadith zote za mtume muddy,
Pale Iran na Saudia Wala hawaivi.
 
Back
Top Bottom