Habibu Mchange yupo Star TV anaichana CHADEMA

Naangalia star tv hapa,,jamaa badala ya kutoa hoja ila cha ajabu amejikita kuiponda chadema,,kweli hawa watu wana hasira na chadema sana,,kasema ukiindoa ccm kwa ubovu chadema inafuata,,huyu jamaa kila anachoongea kwa kweli simuelewi kabsa,,yani kila anachoongea ni chadema tu

Anasema mbowe alikataa gari la kiongozi wa kambi ya upinzani na kurirudisha kwa mbwembwe na kuita waandishi wa habari.
Lakini baadaye akaludi kwa nyuma na kulichukua ktk hili nalo humwelewi?
 
mtangazaji naye apimwe akili,utamwalikaje kichaa kwenye kipindi?huyu amekuwa akitukana kwenye mialiko ya tv ila bado wanamwalika
 
kibaya zaidi hata watangazaji ni weupe sana,hawana maswali ya kufikirisha na hawana uwezo wa kumoderet mjadala,watu wanazungumzia watu kwny kipind badala ya issues
 
Mchango hata huko ACT hawezi kaa kwani inaonekana dogo hana sera za kuchangia zaidi ya kuisema Chadema.
 
Dogo kweli mweupe hawavijana ni hovyo . Sasa mambo ya 2011. Hakuweza kuyaongea that time shame on him machange
 
kibaya zaidi hata watangazaji ni weupe sana,hawana maswali ya kufikirisha na hawana uwezo wa kumoderet mjadala,watu wanazungumzia watu kwny kipind badala ya issues

Huo ni mpango maalum ulioandaliwa na watu wenye weledi mdogo. Wala isikupe shida, ni sawa na kuangalia muziki wa Kikongo ambao huwezi kujua wanaimba nini bali unafurahia mauno yanayokatwa.
 
  • Thanks
Reactions: Pai
Kwakuwa hampendi ukweli utakosa kumuelewa, ila ukwelinikuwa Mbowe ni tatizo
 
Nimemsikiliza mchange habibu hana jipya lolote anashindwa kujua maamuz ya bungeni ni ya wengi na wengi ni CCM na huyo zito kalamba posho zote bungeni hizo kauli zake za kukataaa posh huwa ni za majukwaani mchange acha siasa za kitoto
 
Niliwai kuudhrua mkutano wa dk slaa ktk kampen zak kibaha mjini uyu dogo akiwa ndo mgmbea ubunge... Alimwita dr slaa kua ndo rais wake.. Aliongea vyema saana ila kumbe alikua ni mfuata mtu siyo taasisi iluyomjenga. Kwa kweli ni kijana ambaye kakosea saana kumfuata zitto.. Trust friends uyu dogo angekua chini ya akin dr slaa mbowe baregu.. Na wazee wengn angekuj kua mbunge mzuri saana... Kajipoteza na anazid kujiaribia koz anakotok ni eneo ambalo chadema inapendwa saana.. Zitto kawaharibu saana adi wamekosa ata staha dhidi ya watu wazim...
 
Upotoshwaji upi mkuu Hilo swala limeshaajadiliwa sana huko na ndio ukweli wenyewe au Wew ndio umeingia kwenye siasa juzi
kuingia juzi kuna kuhus nini,weka mashtaka ya zito yaliyotolewa na chadema,hayo ya wahuni kama nyinyi nenden mpafanyie puli
 
Back
Top Bottom