Habibu Mchange yupo Star TV anaichana CHADEMA

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,752
4,449
Naangalia star tv hapa,,jamaa badala ya kutoa hoja ila cha ajabu amejikita kuiponda chadema,,kweli hawa watu wana hasira na chadema sana,,kasema ukiindoa ccm kwa ubovu chadema inafuata,,huyu jamaa kila anachoongea kwa kweli simuelewi kabsa,,yani kila anachoongea ni chadema tu
 
Leo katika kipindi cha safari ya kuelekea october 2015 habibu mchange wa act amemponda mbowe kuwa anatumia rasilimali za umma kwenye masuala binafsi ya kisiasa ametolea mfano anavyotumia gari la serikali kufanya kampeni kwenye harakati za kisiasa pia amemuita ni mfanyabiashabara mwanasiasa
 
Naangalia star tv hapa,,jamaa badala ya kutoa hoja ila cha ajabu amejikita kuiponda chadema,,kweli hawa watu wana hasira na chadema sana,,kasema ukiindoa ccm kwa ubovu chadema inafuata,,huyu jamaa kila anachoongea kwa kweli simuelewi kabsa,,yani kila anachoongea ni chadema tu
Hana jipya huyo ni uharo tu
 
Tatizo la watu aina ya Mchange wanaongozwa na dhana ya "tukose wote". ACT WAZALENDO ni chama mahususi kwa kupambana na vyama vya upinzani mwaka wa uchaguzi October 25, 2015
 
Tatizo lipo kwa mwendeshaji wa kipindi,anaruhusu wachambuaji kutaja majina ya watu ambao hawapo kwenye mdahalo ili waweze kutolea ufafanuzi wa anayotuhumiwa..tunahitaji waandishi weledi.
 
Huyu Habiba Mchange Anadhani Watanzania ni Wajinga, CHADEMA Wanaijua na ACT -Wazalendo Hakijulikani. Hiki ni

Chama Cha Mtandaoni na Kipo Kigoma, Chenye Mlengo wa Upinzani Kwa Wapinzani. Fikira za Chama Hiki na Wafuasi wake

Nadhani Hawana Hoja. Eti Azimio la Tabora Hii Ndio Nini na Nani Kaliasisi na lini?

NB:Kufukuzwa Kwa Zitto Kabwe CHADEMA ni Wazi tu USALITI na Kuanzisha Chama Juu ya Chama.
 
Hawa wachambuzi wa dar wako vizuri kweli naona Leo chadema wanapewa dawa ambayo ni chungu kumeza,
Nawashauri chadema wameze tu dawa hiyo ili wapone.
 
Back
Top Bottom