Habib Mchange awaliza wanaCHADEMA Mwanza, washinikiza asiongee, hoja zake zateka kongamano

Mnamiaka miwili ya kuzidi kuitangaza Chadema, kivyovyote mfanyavyo cdm inazidi kupanda juu, mtashangaa

Vurugu na criminology ni asili ya chadema.
1.Lema ni jambazi.
2.Sugu kibaraka wa mbowe kapiga askari.
3.Mbowe alitangaza "civil disobidience day"
4.Kutwa Maandamano.
 
Mchange toa elimu ya uraia mkuu wala usikatishwe tamaa na wabakaji wa demokrasia.
Tena awatoe tongotongo kabisa na aeleze mwenyekiti wa Ccm alimshinda nani kwenye democrasia bora ya Kama ya CDM,aeleze jinsi mwigulu na kinana walivyopatikana kidemocrasia.
 
Hii ndio zaidi ya robo-tatu ya wanakongamano waliokuwa wakiomba wapatiwe namba za mawasiliano

attachment.php

Uhalisia utabaki kuwa uhalisia tu hata ukipindishwa vipi, waliokuwepo waliona mbivu na mbichi.
 
Dk Slaa alisema pia kuwa Chadema kitatumia wabunge wake kuibana Serikali kuhusu Fedha za ruzuku ya kilimo zinazotolewa kwa ajiri ya maendeleo ya kilimo lakini zimekuwa zikatafunwa na wajanja wachache"source Mwananchi leo
Angalizo,sialalishi wizi,na sipendi wezi kuwaita wajanja,Je Slaa yupo tayali kuwajibika sababu utafanaji olela wa ruzuku ndani ya CDM
 
Iwapo hayo yanayozungumzwa hapo juu ndo unayosema umahiri wa kuwasilisha hoja...basi ninawasiwasi na uelewa wa hao waliokuwa wakimshangilia...sijaona hoja yeyote hapo zaidi ya maelezo yanyoongozwa na hisia binafsi.

Hivi unaelewa maana ya maneno hayo hapo kwenye nyekundu? Hivi umahiri wa kuwasilisha hoja kwa kuzungumza unaweza kuuona kwenye maandishi?
 
Hahaha Inferiority complex inawasumbua kwenye ujengaji wa hoja.

Hayo masuala mengine ya kunishindanisha na vibaka wa simu na wataalamu wa viapo vya waganga wa kienyeji,ni kweli siwezi na ninakubali sina uwezo mkubwa.

killer una kachupa kadogo ka sumu wewe

hii tuhuma inakuzika mkuu, ulikubali vipi kutumiwa na slaa ili umuue zitto??

kuna wakati watu wanaamini kwa sababu unakubali kila kitu cha slaa bila kushirikisha akili zako

ahaa haa haaa
 
Vurugu na criminology ni asili ya chadema.
1.Lema ni jambazi.
2.Sugu kibaraka wa mbowe kapiga askari.
3.Mbowe alitangaza "civil disobidience day"
4.Kutwa Maandamano.

Umeambiwa ueleze ushiriki wa makada wa CCM kwenye mkutano ambao ulikuepo wewe na huyu aliyeomba ulinzi wa polisi jana
 
Hivi unaelewa maana ya maneno hayo hapo kwenye nyekundu? Hivi umahiri wa kuwasilisha hoja kwa kuzungumza unaweza kuuona kwenye maandishi?

Kada Deya labda hujanielewa mimi ni merejea kile nilichokiona na kukisoma katika uzi kwamba ndicho kilichowasilishwa na kufanya watu wataharuki na wengine kuchanganyikiwa kwasababu ni cha kawaida kabisa na hata magazeti yote ya Udaku yamekiandika na hakuna jipya lolote kati ya hayo yaliyoandikwa vinginevyo bado nasisitiza kwamba nina wasawasi na uelewa wa hadhira aliyokuwa akiifikishia ujumbe.
 
Chadema haimhusu tena, hata ashangiliwe Vipi. Kama anaona kuna shida cdm si yeye na zzk waanzishe chama chao?

kwani Chadema ni chama chenu pekee yenu, au hichi ni chama cha ki NAZI ya Hitler, ambapo hakuna ruhusa ya kupinga amri ya Hitler na ukipinga wewe ni msaliti, ama unanyongwa au unalishwa sumu.
 
Misukule wa zitto on work. Nilikuwepo pale hotelini. Pole mchange kwa aibu uliopata jana. Umma unafahamu fika kuwa munapiga dili.
 
Hivi kwa nini watu mnakuwa wapumbavu to the extent ya kujidhalilisha kiasi hiki !?

Wewe ndie umeleta hiyo habari, ambapo pamoja na mambo mengine yote umesema kwamba at the end robo tatu ya washiriki wa mdahali walimsonga Mchange wakiomba mawasiliano yake; wewe huyo huyo umetoa picha ambayo ina watu kama sita hivi ambao ndio wamemzonga.....

Mtu anaporejea hiyo picha yako na kuomba uconfirm kama hao watu sita ndio 3/4 ya washiriki wewe unajibu

"Uhalisia utabaki kuwa uhalisia tu hata ukipindishwa vipi, waliokuwepo waliona mbivu na mbichi"

Facts (zikiwemo za picha) umeleta wewe, unapoonyeshwa mkanganyiko kwenye facts zako, unasema ukweli unapindishwa !......

Uhalisia utabaki kuwa uhalisia tu hata ukipindishwa vipi, waliokuwepo waliona mbivu na mbichi.
 
Huyu kijana HABIBU ana uwezo mkubwa kuliko BEN aka mzee wa sumu na bwana HECHE aka yahaya wa slaa

Wewe usiyemjua ndio wasema ana uwezo mkubwa lakini alikokulia kwao Kibaha wanamuona kama....

images
 
Mbona hakuna anayejibu hoja za Mchange badala yake tunacomment mipasho tuu. Mi nilizani ni wanachadema wa Mwanza tuu ndio wanaogopa kusikia na kujibu hoja zinazoikabili chadema. Kumbe hata watu wa daslam mbona mnakiaibisha chama? Ben hiyo comment ni yako kweli au kuna mtu amehack account yako?

Ulianza vizuri sana hoja yako lkn niliacha kuisoma pale ulipochomekea vijineno vyako ukionyesha kuegemea upande mmoja, niliamua kukwepa kuchangia bandiko lako.
 
Mkuu tuwekee picha za hicho unachosema mimi nimemzungumzia Habib Mchange ambaye aliwasilisha mada yake vizuri alipokelewa na kuagwa vizuri na watu wa mwanza labda unamzungumzia Mchange yupi?
Omba CD kutoka kwa Gachuma , ambaye alilipia matangazo ya kongamano kuwa live Barmedas tv ya Mwanza .....
 
Hivi kwa nini watu mnakuwa wapumbavu to the extent ya kujidhalilisha kiasi hiki !?

Wewe ndie umeleta hiyo habari, ambapo pamoja na mambo mengine yote umesema kwamba at the end robo tatu ya washiriki wa mdahali walimsonga Mchange wakiomba mawasiliano yake; wewe huyo huyo umetoa picha ambayo ina watu kama sita hivi ambao ndio wamemzonga.....

Mtu anaporejea hiyo picha yako na kuomba uconfirm kama hao watu sita ndio 3/4 ya washiriki wewe unajibu

"Uhalisia utabaki kuwa uhalisia tu hata ukipindishwa vipi, waliokuwepo waliona mbivu na mbichi"

Facts (zikiwemo za picha) umeleta wewe, unapoonyeshwa mkanganyiko kwenye facts zako, unasema ukweli unapindishwa !......

mkuu achana naye huyo ni PIMBI TU!
 
Back
Top Bottom