habari zenu bhana wadau!

Apr 5, 2011
58
3
msaada wa mawazo wadau. Nina rafiki yangu kaachwa na mpenzi wake sababu ni kwamba hakumwambia ukweli kuhusu mahusiano yake ya zamani sasa jamaa kajua ukweli na kamwambia hawezi kuendelea kuwa nae it means amemwacha. Bado anampenda sana amejaribu kumwomba msamaha imeshindikana.
 
Uwongo sio mzuri.Sema ukweli mwanzoni ili ijulikane kama mnasuka au kunyoa kabla hamjatia nywele maji.Pole yake kwa kuvunja uaminifu mapema...aombe kama atasamehewa ila kama haiwezekani aangalie ustaarabu mwingine.Mwambie next time awe mkweli.
 
Nchaghwa uuuuh,..
huyo mwiseke mwambie ache uni ntamuoa tu mbane sio rasima huyo mchabhani ariye mtupha
 
humu ndani mna vijembe wengine mnakatisha tamaa. Kwani mtu akikupa story na akiomba ushauri kinachotakiwa si kushauri wat to do! Acheni kuwa rude hivyo
 
Back
Top Bottom