Habari za Kitaifa toka ITV 11-02-2011 - VIDEO

Kuna marekebisho nimeyafanya nadhani quality ya video itaongezeka!
 
Asante sana kitungi kwa moyo wako wa uzalendo wa kuwa unatuletea habari mbalimbali za ITV(video) kila siku, ushauri wangu.

Tengeneza Thread maalum moja au ongea na JF administration uwe unaweka hizi habari(video) sehemu moja kuliko kuanzisha thread tofauti kila siku labda heading inakuwa HABARI ZA KITAIFA TOKA ITV ndani ya thread hiyo unaweza kuweka tarehe ya habari na siku husika. Nakushukuru tena kwa vile unatusaidia sisi wengine ambao kazi zetu zinatufanya tuwe mbali na TV muda mwingi. Endelea kutuhabarisha.

Ombi kwa JF administrators msaidieni kitungi kuanzisha Thread maalum kama zilivyo thread za Manchester Utd, Arsenal nk.
 
naunga mkono hoja

Kama JF Administrators watakubali kwa upande wangu hakuna tatizo naweza kuzirusha hapa hapa bila kupitia youtube!.
 
Back
Top Bottom