Habari za asubuhi mmeamkaje ?

NITTY,
nimeamka poa...safarini asee...naenda SHY!
thanks for salam msalim shemeji na wanao...

Mdogo wangu, huko ndo ukweni nini ? Kama nimepatia , utakua uko full-maandalizi .
Ukiona Shy miyeyusho pitiliza kwa Rock Cirry, uje ule makitu mang'anyuu .
 
hajambo, yuko huko nje anapruni miti.
Yuko bize kweli.

Ngoja nimwahishie supu ya maini na chapati za kumimina.
Nataka turudi kulala tena lol.

Hajambo ila yeye hajaamka maana anajiskia kauchovu uchovu.

Vipi baba naniii naye hajambo?
 
Safari njema mkuu, angalia kulakula njiani sio ishu.

Points like, now days mi niki'cross central corridor, nikitoka home hua najipanga kabisaa! Ndege wangu mzima fray, attached with Vyapa vya kutosha.
Biashara ya kupelekwa pale Singida-Petrol station, noma ! Unaletewa plate buku dala then hushibi labda upige double plates ilinishinda.
 
hajambo, yuko huko nje anapruni miti.
Yuko bize kweli.

Ngoja nimwahishie supu ya maini na chapati za kumimina.
Nataka turudi kulala tena lol.

Unataka kumuua babu wa watu usiku kucha hujatosheka! ....Lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom