Salaamu kutoka kwa Nitonye hope wote ni wazima
Kuna mawingu juu yametanda mpaka yanatisha
NITTY,
nimeamka poa...safarini asee...naenda SHY!
thanks for salam msalim shemeji na wanao...
Swafi mkuu na hii weekend yaani ni burudani
Dah safari njema mkuu mambo ya shy town, unaenda mgodini nini?
Safari njema mkuu, angalia kulakula njiani sio ishu.
Globu mimi sijambo vipi chumba umekiacha salama?