Habari wakuu natafuta kontena futi 20 very urgent wakuu

drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,542
281
Jamani hbr zenu pls natafuta kontena la kufanyia biashara mwenye nalo au aneejua naweza kupataje aniibox pls
 
Mkuu mbona ulipiga simu ila adi saivi nikikupigia hupokei. Bado unalihitaji ilo contena or?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
TENGENEZA NYUMBA,DUKA OFFICE NA JASCO TRADERS IONEKANE YA KISASA ZAIDI NA YENYE KUVUTIA KWA BEI NAFUU (JASCO TRADERS AND DESIGNER WANAKUPA OFA 50% WAHI SASA UFURAHIE RANGI, FUNITURES,WALLS,FIXING,DESIGN WASILIANA NASI 0717486707,0655488080,0784334020 email:jascotradersjsc@yahoo.co.uk)
hii inahusiana na kontena?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom