Kwahiyo umesikia tetesi unahitaji kontena!Habari zenu waungwana,nahitaji kontena la futi 20,bajeti yangu milioni 2.......Likipatikana leo itapendeza zaidi
Huwezi kuwa serious! Container la hizo dimensions umepewa 3.5M budget unataka kuleta janja janja 😅Habari zenu waungwana,nahitaji kontena la futi 20,bajeti yangu milioni 2.......Likipatikana leo itapendeza zaidi
Container unalolitaka wewe upo wapi? Je, utalisafirisha ama matumizi yake ni gani?Nahitaji kweli kontena
njoo lipo mbeya chapaNipm namba yako ya simu tuzungumze
chapNipm namba yako ya simu tuzungumze
Hilo kubwa sana chief... 20 feet tafadhaliLipo la 40ft Bei 6.5m jipyaa