Habari njema kwa wasiopenda kujisajili JF

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Kwa wale ambao husoma mijadala JF bila kutaka kuchangia chochote wala kujisajili, tunawafahamisha kuwa sasa mnaweza ku-download files (attachments) zinazokuwa zimeambatanishwa kwenye posts za wale wanachama wetu (ambao ndo tunawaita wamiliki wa JF) ambao kwa moyo wa dhati wamedhamiria kuchangia hoja na kutumia muda wao kukuelimisheni juu ya mambo kadha wa kadha ambayo ungependa kuelimishwa.

Kujisajili JF ni BURE, kama hujui namna ya kujisajili usisite kuwasiliana nasi kwa kutuma barua pepe kwenda info@jamiiforums.com nasi haraka tutakusaidia.

Aidha, karibuni tutaanza kutoa Live Support ili yeyote anayehitaji kujua juu ya jambo flani ajue kirahisi. Pia, kutakuwa na mabadiliko makubwa katika mwonekano wa JF, itakuwa user-friendly zaidi ya sasa. Lakini, kama hujajisajili "sorry" hutoweza ku-comment chochote.

Karibu!
 
Watu wengi ni waoga, wanajua kuna siku soo itatokea na wanachama wote wa JF waliojisajili ndo watakaoshughulikiwa!!

Labda mkuu watoe hii hofu.... people loves this forum and many are willing to register, but they don't want to be accountable for anything. My opinion!!!
 
Watu wengi ni waoga, wanajua kuna siku soo itatokea na wanachama wote wa JF waliojisajili ndo watakaoshughulikiwa!!

Labda mkuu watoe hii hofu.... people loves this forum and many are willing to register, but they don't want to be accountable for anything. My opinion!!!
Ebanaeeee,

Hahaha... Yani mtu mzima anaogopa kujiita "Alfonse" ilhali yeye ni "Adolf" na akashiriki kwenye mijadala?

Hivi nani anadhani jina analoweza kujisajili nalo mfano "Hamis Omari" tutaamini kuwa ni Hamis Omari wa ukweli?

Kuja na facts hapa, hakuna wa kukusumbua kabisa. Kuwa huru, kama unakumbana na ugumu wa aina yoyote sema tukusaidie. Tupo kubeba lawama zozote unazoweza kubebeshwa!

Simply REGISTER and enjoy our services...
 
Hivi nani anadhani jina analoweza kujisajili nalo mfano "Hamis Omari" tutaamini kuwa ni Hamis Omari wa ukweli?...

Kwa hiyo huamini kuwa mimi naitwa "Julius" kikweli kweli? Kama huamini basi wewe utakuwa uko na akili sana kuliko baadhi ya mijitu humu...Lol
 
Back
Top Bottom