kilemi
JF-Expert Member
- Mar 13, 2009
- 547
- 107
Hao waalimu ndo muda muafaka wa kufanya kweli, badala ya kudanganya na vijisent halafu baadae waje kuitisha migomo ya isiyo na mbele wala nyuma!Unabii huu wa campanero utatimia pale tu waalimu wote wa Tanzania na wengine watakaosimamia masanduku ya kuhesabia kura mwezi October watakaposimama kidedea kuzuia wizi wa kura unaopangwa na chama cha mafisadi ili kupoka matakwa ya waliowengi nchini.