Habari katika picha: Kilichojiri Arusha Jan 5, 2011

Unamaanisha nini juu ya uhalali wa umeya? Meya tunaye...period.

Halafu unashangaa hizo picha wakati cdm ndio waliosababisha yote haya?

Inaonekana mnaruka bila ya kujua mtaangukia wapi.

Unaongea kama vile una kawaida ya kukalia msumari wa yule jamaa wa kiirani Fisadi namba moja.
 
Kusema ukweli bila siasa na ushahidi ninao huyu dada hakupigwa hapo kajaza mi tomato sause ionekane kama damu. Nimefanya ukaguzi hana kovu lolote. anayebisha atuabie alitibiwa wapi na alishonwa nyuzi ngapi?
Wewe ni shetani,nenda kuzimu!!!
 
Ndugu zangu,

Tembeleeni kwenye hiyo link hapo chini mjionee wenyewe picha zinazosikitisha zikionesha jinsi maandamano yalivyoanza kwa amani Arusha, halafu polisi wakaja na kuanza kupiga watu risasi. Moja ya picha zinamuonesha Ms. Josephine Mushumbusi, mke wa Dk. Willbrod Slaa, akitoka damu baada ya kupigwa virungu na polisi wa Kikwete akiwa hana hata silaha.


Login | Facebook
 
Wote wamevaa maguo ya militant ,hawa wamekosa uraisi imekuwa nongwa,yaani sasa wamehamisha vita kwenye umeya ,hivi ni wanasiasa hawa au ni wababaishaji ?
 
Jamani huyo dada hakupigwa hiyo blood propaganda inamaana alikua mwenyewe? mbona hamuoneshi waliouwawqa? picha zilezile hata kwenye magazeti tumeziona we need to see exclusive pictures. Halafu huyo mama hajui propaganda maana hana ushirikiano angekua mjanja angeungana na wenzie kama watano hivi kufanya huo mchezo alioufanya.
 
Wote wamevaa maguo ya militant ,hawa wamekosa uraisi imekuwa nongwa,yaani sasa wamehamisha vita kwenye umeya ,hivi ni wanasiasa hawa au ni wababaishaji ?

Tangu mmeolewa na ccm basi mnaona mko mbinguni na mko juu !! Pathetic..... vibaraka nyie mmewauza wananchi kwa vipande vya pesa na mkate. Hata aibu huwa hamuoni.
 
UNA TATIZO LA POOR REASONING,Kuna aina tatu za ndoa we kunguru;

  1. KIDINI
  2. KISERIKALI (KWA D.C)
  3. KIMILA
    ,HIVYO BASI USIWE NA MAWAZO MGANDO KAMA HAO MABWANA ZAKO ,WEWE UNAJUA NDOA NI KANISANI TU
 
Kulikuwa kuna haja gani ya polisi kutumia nguvu kubwa kiasi hiki hasa kwa akina mama??
Lazima hwa watu waalaanike maana maandamano yalikuwa ya amani amani amani>
lazima watubu na watoe fidia na sadaka ili wasamehewe.
 
Wewe kweli kalagabaho, hujui kuna sheria tanzania ya kwamba ukiishi na mwanamke zaidi ya miezi sita anakuwa na
kila haki kuitwa mkeo na siyo lazima uwende kanisani au mahakamani kwani hizo ni formalities tu.
 
Wote wamevaa maguo ya militant ,hawa wamekosa uraisi imekuwa nongwa,yaani sasa wamehamisha vita kwenye umeya ,hivi ni wanasiasa hawa au ni wababaishaji ?

Kama mpaka leo haujajua kama hawa ni wanasiasa.....subiri sio muda mrefu sana utajua .....
 
wajinga ndio wanaotawaliwa kijinga, watanzania wengi fikira zao ni ndogo sana. Nchi hii inaendeshwa vibaya na tunapopata wachache ambao watatupeleka katika dira iliyo salama lakini bado tunawakebehi, ipo siku utaona mchango wao. Tunawasaport ndugu zetu wa Chadema kwa moyo mmoja.
 
YEAH;WENGI TUMESIKITIKA KWA KITENDO HICHO,POLISI HIYO SO HAKI..TANZANIA CHADEMA WANATUPA HISIA ZA UHUNGU JINSI SERIKALI ILIVYOOZA,,,,,,,,,,,,,,,,,:A S 465::sleep:
 
The truth will always stand...

One day these men with gun will turn back to them when they are tired of being used to kill and beat innocent people.

It has happened in Pakistan, Kongo and soon is coming to Tanzania.
 
Back
Top Bottom