Newbies
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 1,478
- 2,149
Nimeshangaaa kuona baadhi ya watu wanashea habari na picha za uongo kuwa kijana molel alijiunga na jeshi la isael, watu Hawa wasio na akili wamekuwa wakituma picha zilizoeditiwa kiasi Cha Mimi kuzifanyia uchunguzi nikabaini Ni upotoshaji, lakini nikajiuliza wanapata faida gani kufanya hivyo? Au ndio athari zenyewe
Kwa utafiti wa haraka haraka picha wanazotuma na kudai zimechapishwa katika tovuti ya thetimesofisrael , kulingana na mtandao wa kuhakiki picha (tineye) picha hizo hazijawahi kuchapishwa na tovuti yeyote duniani (hakiki pia kupitia Google image)
Pili , habari inayodaiwa kuchapishwa pamoja na picha hiyo sio kweli katika habari hiyo hakuna matumizi ya picha hiyo angalia hapa https://www.timesofisrael.com/israels-diplomatic-thrust-into-africa-spearheaded-by-military-
Picha ya uongo iliyotumwa na ndugu Fadhili katika mtandao wa Facebook
training/
Katika uhakiki wangu habari hiyo iliandikwa katika tovuti ya thetimesofisrael mwaka 2019 angalia picha Hapa chini
Mwisho nawaonya watu Hawa na kundi Lao kubadilika na kupenda kujifunza ili kuacha kupotosha umma