Habari katika picha: Kilichojiri Arusha Jan 5, 2011

Hayo ni maisha ya kawaida kwa wamachinga pale DSM na kwingineko.
Its time for changes mpaka kieleweke
Naona Rev ameandika ivyo ili MOD assitoe uko very philosophical mkuu Rev
 
mke%20wa%20slaa1.jpg

mke%20wa%20slaa.jpg

Communications and claims under art.15 of the Rome Statute may be addressed to: Information and Evidence Unit
Office of the Prosecutor
Post Office Box 19519
2500 CM The Hague
The Netherlands
or sent by email to otp.informationdesk@icc-cpi.int ,
or sent by facsimile to +31 70 515 8555.
 
Aleluyah!

Imefika wakati watu wa Mungu mumuogope Mungu. Ninapata hisia kuwa Uongozi ulipo madarakani hauna hata chembe Moja ya utu na hawaamini kuwa Mungu yupo. Namshangaa Anndanenge na IGP kwa kupigana na watu wasio na hatia wnao dai haki zao.

Leo hii ni Hasara kiasi gani wameliingizia taifa letu, Majengo yaliyo haribiwa na mengine kuwaka moto sababu ya mabomu ya machozi yaliyokuwa yanarushwa bila mpango, ni akina mama wangapi wajawazito waliohathirika na mabomu, biashara ngapi zimeharibika, watu wangapi wamejeruhiwa, wacha wale waliokufa.

Hii Damu iliyomwagika bila hatia hakika Mungu anaiona na damu hiyo itaendelea kulia kila kuchapo na hii nio kusema itaisha tu pale watakapo rudi na kutubu.

Mungu Awapongee majeruhi wote na kuwapa pole wote walifikwa na misiba ya ndugu zao wenye uchungu na Nchi yao.
 
CCM Will Pay for this innocent Blood!!!!!!!!!

Unadhani utafanywa nini kama hufati sheria? Majeruhi wengi waliumia kwa kupigana mawe wenyewe kwa wenyewe kwa sababu walikuwa wakiwarushia mawe askari hovyo hovyo bila kujua upande uleule wapo wafuasi wengine.

Usipofata sheria=Pilipili na Mabomu
 
Walivyopigwa Zanzibar mlisema sawa sasa zamu yenu!!!!!!!!!!

Na kila mkiandamana mtakiona cha mtema kuni.
 
Si kihivyo mazee, hili ni kawaida sana. Unadhani huko ICC wanasikiliza utumbo kama huu, yakujitakia haya...

I wish baba yako au mama yako au mkeo au watoto wako wangekufa tuone kama ungesema hivyo.Vifo vya watu unasema utumbo? Wewe ni binadamu au shetani???. Wewe lazima utakuwa shetani. Hata shetani mwenyewe anakushangaa kwa hii kauli.You are the devil himself.Kumbuka what goes around comes around since una rejoice vifo vya wenzako mwaka huu hautaisha before ndugu zako kufa wa karibu kufa kifo kibaya if not then wewe.It's only a matter of time you just wait and see uone kama ninasema uongo.
 
Kusema ukweli bila siasa na ushahidi ninao huyu dada hakupigwa hapo kajaza mi tomato sause ionekane kama damu. Nimefanya ukaguzi hana kovu lolote. anayebisha atuabie alitibiwa wapi na alishonwa nyuzi ngapi?
 
Ingekuwapo Key ya kubonyeza halafu nikakuzaba kibao huko ulipo ingekuwa nishafanya hivyo zamani.
 
Kusema ukweli bila siasa na ushahidi ninao huyu dada hakupigwa hapo kajaza mi tomato sause ionekane kama damu. Nimefanya ukaguzi hana kovu lolote. anayebisha atuabie alitibiwa wapi na alishonwa nyuzi ngapi?

Easy!

Digirii ya Medicine mwenzetu ulisomea wapi?
 
Unadhani utafanywa nini kama hufati sheria? Majeruhi wengi waliumia kwa kupigana mawe wenyewe kwa wenyewe kwa sababu walikuwa wakiwarushia mawe askari hovyo hovyo bila kujua upande uleule wapo wafuasi wengine.

Usipofata sheria=Pilipili na Mabomu

Upeo wako ni mdogo mno ka sio sifuri, tokea lini mbunge wa viti maalum Tanga akaenda kupiga kura Arusha? usifikiri watu wote humu wana vichwa vya mende, haya nenda kayaongee kwa watu wasio na akili, humu unajidhalilisha tu. Sheria ni msumeno, haina mkubwa wala mdogo, iheshimike na wote sio itumike kuwakandamiza baadhi tu wasiokubaliana na kundi la wezi na mafisadi. Pole
 
AK 47 napenda kukuomba uache jazba tuangalie ukweli. Ndio maana nikasema anaebisha aseme humu alitibiwa wapi au akatuoneshe kovu
 
Back
Top Bottom