Gym inaweza rudisha heshima ya ndoa yako kabisaaa.

Sasa nyie wanaume mnatuchanganya!,,,,mara mtu ukifanya mazoezi sana unapoteza hamu ya mapenzi,mara ukifanya mazoezi unachoka sana hivyo unamaliza haraka,haya hii nyingine tena ukifanya mazoezi unakaa muda mrefu jamani lipi ni lipi????
 
Kabla sijaoa nilikuwa nafanya mazoezi ya kunyanyua vyuma sana.Na ninakumbuka enzi hizo my wife alikuwa chuo alikuwa anakuja kila weekend na ilikuwa hamna kulala yaani round moja bila lisaa limoja na kwa style zote nilikuwa sitoki juu kabisa.Tulipokuja kuoana nikapumzika mazoezi ya gym,Tumbo likawa kubwa mpaka nikafikisha kilo 92 na hapo hata perfomance ikapungua sana kwani round 1 nikichelewa sana ikawa ni dakika 15 tu kwishney mpaka wife ananiuliza kulikoni siku hizi mbona fasta sana?Nina miezi nane sasa tangu nianze tena GYM kwanza nimekata weight nina kg 81 sasa yaani nimeamisha ngurunyi za tumbo zimeamia kifuani ,kwenye shoulder,mikono yaani nimerudi kama enzi zile.Na kwenye bed moto si wakitoto yaani sasa hivi bila dakika 50 au lisaa hakijaeleweka. Ninachoshukuru hadi wife sasa anaridhika mpaka mpaka anatamani kunifungia ndani nisitoke.Kwa wanaume wote please anza mazoezi sasa kama ulikuwa ufanyi.

Miguu inakua ka spoku za baiskeli....
 
Mkuu upo ryt khs gym, huwa inasaidia sana ktk mambo fulani ila sio gym tu pekee inabidi pia ujue jinsi ya kumuandaa gf/mke wako maana vinginevyo hayo mazoezi yako yanaweza kuwa adhabu tu kwa mwenzio.
Kula gym ujenge body kaka, nilikuwa napiga gym na soka pia kwaajili ya kuweka sawa punzi, kwa sasa nimepunzika kutokana na majukumu. Nakomaa na push-ups nazo ni nzuri zinajenga pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom