Guys tunachohitaji toka kwenu ni kidogo sana....................

heheheeeee!!! hapa panahitaji maelezo........yani mama matesha anavuta mtu masikio??

Haya masikio yanashikika? yaani kwa msaada wa mabapa, valuu na bia za baridi haya masikio yanashikika? :sick:
 
Simpaka ujue kwamba unavutwa masikio we utaona ni mapenzi kumbe!!! sikosei hata wewe unavutwa ila huelewi
Hoja kama hizi huwa zinajibiwa na makamanda wenzangu kama huyu
heheheeeee!!! hapa panahitaji maelezo........yani mama matesha anavuta mtu masikio??
Wewe ngoja nikutendee haki kwa vitendo:

The Following User Says Thank You to Bigirita For This Useful Post:

Asprin (Today)
 
Unajua DC huyu Rose anasema khsu experience yake kuwa amegundua kuwa wanaume wenye sura mbaya wanakuwa na maneno/lugha nzuri kuliko wale wahandsome.mie kwa upande mwingine nimekubaliana nae kwa vile wale wazuri wanakuwa wanatafutwa sna na inawezakuwapa kiburi.
Ila mie naona mtu yoyte anapaswa kuwa na lugha nzuri awe mwanamke au mwanaume hapo mahusiano yatakuwa imara kwa vile hakuna asiyetaka kuheshimiwa na kuthaminiwa.

Mchumba hebu niambie kwa faida yangu: Mimi nina sura mbaya au nzuri?
 
No way siombi msamaha kwa mtu yoyote. Wanawake wote ni wapuuzi katika dunia hii. Iwe alikuzaa, atakuzaa ama aliwazaa so long as ni mwanamke ni mpuuzi full stop.

Dunia bila wanawake ingekuwa na amani kubwa sana.
Duh......hapa mzee u just crossed the line......Yaani unawatukana mama zetu namna hii...Ningekuwa karibu yako ningeku.......................................
 
To be honest wewe (una sura mbaya) na una nyama ya ulimi tamu....
Lakini kumbuka jambo hili: beauty is in the eyes of beholder!
umekosea hapo...........beauty is in the eyes of the beer holder!!
 
Duh......hapa mzee u just crossed the line......Yaani unawatukana mama zetu namna hii...Ningekuwa karibu yako ningeku.......................................
Nimalizie kiongozi? (Ungemtafuna tigo yake kavukavu) Sijasema kitu hapo usininukuu vibaya:closed_2:
 
mi nimejifunza kutoongea kabisa!! Mpaka msichana wa kazi anamuuliza wifey, mbona baba haongei? Amekasirika?
Nimegundua, kunyamaza kuna positive effect kwenye ndoa...kama mwenza ni vuvuzela ataacha au kupunguza, coz hau-entertain maongezi yasiyo na tija!! Wala mwenyewe huanzishi maongezi ambayo yeye atakuovateki kwa maneno meeeeengi!! Si mnajijuaga tena wadada?!!

nimeipenda sana hii ngoja niiapply nione inakuwa vp...
 
Ni kweli kabisa haya mambo hayana formular me nina dada yangu anambuluza shemeji yangu hadi mimi ndo naona iabu ila yeye anasema wanume sio watu ukipata wa kumbuluza vuta masikio mpaka yaning'nie et hamtabiriki ati!!!!

Salha, mwambie huyo dada yako amekalia kaa la moto na si muda mrefu atakalia mkuki! We mwache aendelee kuvuta ila ajue kuwa yaking'oka ndo ameenda na maji hivyo. Ila naamini huyo dada yako ana tabia za kiswahili swahili na siyo mstaarabu. Mwisho wake utauona mwenyewe!

Unajua DC huyu Rose anasema khsu experience yake kuwa amegundua kuwa wanaume wenye sura mbaya wanakuwa na maneno/lugha nzuri kuliko wale wahandsome.mie kwa upande mwingine nimekubaliana nae kwa vile wale wazuri wanakuwa wanatafutwa sna na inawezakuwapa kiburi.
Ila mie naona mtu yoyte anapaswa kuwa na lugha nzuri awe mwanamke au mwanaume hapo mahusiano yatakuwa imara kwa vile hakuna asiyetaka kuheshimiwa na kuthaminiwa.

Kweli Charity, lakini kwa nini watu wanajaribu kuelezea uzoefu wao kana kwamba una-apply kwa wote? Rose, FL1 na wengine naona wanaongelea mambo yao binafsi na feelings zao. Kitu wanachokosea ni kudhani kuwa hayo mambo yao yanaweza ku-apply kwa wengine. Kama ni kweli basi mimi simo!
 
Kuna wanaume wamefanyiwa kila kitu.wamepewa kila kitu.tena ukiwaona ni kama malaika kwa nje.Lakini wameishia kuwaumiza wenzi wao..Sema tu nyie hamtabiriki la muhimu ni kumwachia Mungu

hivi shemeji, wanaume una uzoefu nao tayari au una uzoefu na Iribini tu? lol
 
hivi shemeji, wanaume una uzoefu nao tayari au una uzoefu na Iribini tu? lol

Afadhali umerudi Mkuu, habari za huko ulikokuwa?

Hapo utakuwa umetusaidia kwa sababu kuna watu wanaongea utadhani wameo au kuolewa na wanaume/wanawake kama 10-100. Tukipata hilo litatusaidia wengine tuliojifunga mbele ya Paroko, kufa au kupona na mmoja tu!!
 
Kweli Charity, lakini kwa nini watu wanajaribu kuelezea uzoefu wao kana kwamba una-apply kwa wote? Rose, FL1 na wengine naona wanaongelea mambo yao binafsi na feelings zao. Kitu wanachokosea ni kudhani kuwa hayo mambo yao yanaweza ku-apply kwa wengine. Kama ni kweli basi mimi simo!

hapo chacha.....
 
Back
Top Bottom