Guys tunachohitaji toka kwenu ni kidogo sana....................

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,375
Sisi wanawake tunavutiwa na mambo madogo sana ambayo hayahitaji kuwaumiza vichwa.. si pesa wala good looking zenu :A S 39:unaweza ukawa na yote lakini amani hakuna ndani ya nyumba
Kauli ya mwanaume ni silaha tosha ya kujenga au kubomoa ndoa yake..Mwanamke anavutia na jambo dogo liitwalo Nyama ya ulimi...
Unakuta mwanaume kadanganywa na wenzio ndoa au mahusiano yako ili yawe imara inabidi yapelekwe kijeshi..uwe mkali kama simba lah hasha hayo mahusiano hayatadumu
Kama unahisi umemkosea mwenza wako muombe samahani kwa lugha tamu
Kama yeye amekukosea na aombe samahani vilevile ....
Lugha zenu zikiwa moja ndoa /mahusiano yenu yatakuwa kama paradise ndogo
Kauli njema ni silaha
Lugha za kibabe /masimango na majivuno...yanbomoa

sawa kina baba/kaka/ dada/ mashemeji nawakilisha............................................:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
 
Umenikuuuna mno ze first ze lady wa unkown kwa hiyo nakugongea Sanks/ Thanks sasa ivi.... umenikumbusha matangazo ya Champion Tena....Yule Jamaa sijui anaitwa Mayenje.... Hebu licheki fasta hilo tangazo
 
Mi nimejifunza kutoongea kabisa!! mpaka msichana wa kazi anamuuliza wifey, mbona baba haongei? amekasirika?
Nimegundua, kunyamaza kuna positive effect kwenye ndoa...kama mwenza ni vuvuzela ataacha au kupunguza, coz hau-entertain maongezi yasiyo na tija!! wala mwenyewe huanzishi maongezi ambayo yeye atakuovateki kwa maneno meeeeengi!! si mnajijuaga tena wadada?!!
 
cool ,:lying:
 
Hizi hizi nyama zao za ulimi ndio huwa zinatuponza.Tunajikuta tumemdondokea mtu kwa ajili ya lugha laini na keshoye anabadilika.
 
Lakini ukae ukijua kuwa na nyie mnatofautiana kimtizamo wapo wengi wenu wamekaa kichunaji tuuuuu:A S tongue:
 
hizi hizi nyama zao za ulimi ndio huwa zinatuponza.tunajikuta tumemdondokea mtu kwa ajili ya lugha laini na keshoye anabadilika.

kweli tunadanganyika na maneno mazuri siku ukijua ni simba unapata depressesion!
 
Hizi hizi nyama zao za ulimi ndio huwa zinatuponza.Tunajikuta tumemdondokea mtu kwa ajili ya lugha laini na keshoye anabadilika.
Men are unpredictable!! lakini if you treat em' nice, and show some respect, utamu wa ulimi utabaki pale pale!!!
I assure you me!!
 
Lakini ukae ukijua kuwa na nyie mnatofautiana kimtizamo wapo wengi wenu wamekaa kichunaji tuuuuu:A S tongue:
kibatani cha kukagua sikioni bana!!!
Namjua jamaa moja anapata shida sana na ubavu wake......hawajafunga ndoa lakini duh!!
 
Men are unpredictable!! lakini if you treat em' nice, and show some respect, utamu wa ulimi utabaki pale pale!!!
I assure you me!!
Kuna wanaume wamefanyiwa kila kitu.wamepewa kila kitu.tena ukiwaona ni kama malaika kwa nje.Lakini wameishia kuwaumiza wenzi wao..Sema tu nyie hamtabiriki la muhimu ni kumwachia Mungu
 
Mwanamke MPUMBAVU huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe! Ukweli ni kwamba, Mwanamke akiwa mpole, mcheshi, mvumilivu, hapendi makuu.. Hayo makelele ya kijeshi yatatoka wapi? Nyumba nyingi ukiona zina makelele, asilimia 91, chanzo ni Bibie... Vuvuzela..
 
Mi nimejifunza kutoongea kabisa!! mpaka msichana wa kazi anamuuliza wifey, mbona baba haongei? amekasirika?
Nimegundua, kunyamaza kuna positive effect kwenye ndoa...kama mwenza ni vuvuzela ataacha au kupunguza, coz hau-entertain maongezi yasiyo na tija!! wala mwenyewe huanzishi maongezi ambayo yeye atakuovateki kwa maneno meeeeengi!! si mnajijuaga tena wadada?!!

kumbe wewe ni he
 
Sisi wanawake tunavutiwa na mambo madogo sana ambayo hayahitaji kuwaumiza vichwa.. si pesa wala good looking zenu :A S 39:unaweza ukawa na yote lakini amani hakuna ndani ya nyumba
Kauli ya mwanaume ni silaha tosha ya kujenga au kubomoa ndoa yake..Mwanamke anavutia na jambo dogo liitwalo Nyama ya ulimi...
Unakuta mwanaume kadanganywa na wenzio ndoa au mahusiano yako ili yawe imara inabidi yapelekwe kijeshi..uwe mkali kama simba lah hasha hayo mahusiano hayatadumu
Kama unahisi umemkosea mwenza wako muombe samahani kwa lugha tamu
Kama yeye amekukosea na aombe samahani vilevile ....
Lugha zenu zikiwa moja ndoa /mahusiano yenu yatakuwa kama paradise ndogo
Kauli njema ni silaha
Lugha za kibabe /masimango na majivuno...yanbomoa

sawa kina baba/kaka/ dada/ mashemeji nawakilisha............................................:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:

FL1 wanawake ni complex sana, hayo ladba umeongea kwa upande wako.
Kuna wanawake ambao usipomudi kuwapa hela ya michango ya kitchen pati, harusi, kipaimara nk nyumbani hapakaliki.
Kuna wale ambao ukiwa goigoi kunako sita kwa sita hata ukitimiza hayo yote uliosema ,timbwili lake ni balaa
Kuna wale ambao ambao usipowapeleka disko na viwanja/out gubu unalo.etc etc

ni ngumu sana kumdefine mwanamke.
 
Umenikuuuna mno ze first ze lady wa unkown kwa hiyo nakugongea Sanks/ Thanks sasa ivi.... umenikumbusha matangazo ya Champion Tena....Yule Jamaa sijui anaitwa Mayenje.... Hebu licheki fasta hilo tangazo

nimelicheki naona linatoa mafunzo swaaafi kabisa ...vunja ukimya
 
Mwanamke anavutia na jambo dogo liitwalo Nyama ya ulimi...............................:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
Mwanamke anavutiwa na jambo dogo liitwalo Nyama ya ulimi...
 
Mi nimejifunza kutoongea kabisa!! mpaka msichana wa kazi anamuuliza wifey, mbona baba haongei? amekasirika?
Nimegundua, kunyamaza kuna positive effect kwenye ndoa...kama mwenza ni vuvuzela ataacha au kupunguza, coz hau-entertain maongezi yasiyo na tija!! wala mwenyewe huanzishi maongezi ambayo yeye atakuovateki kwa maneno meeeeengi!! si mnajijuaga tena wadada?!!

hahahaha Bigirita acha visa wewe...yaani umenichekesha mpaka H/G anashitukia hali yako ..
lakini pia nayo ni nzuri kuna watu wanajua kuchonga mdomo kama mpiga filimbi wa Amelini
 
hehehe mimi bana mpaka leo nimeshindwa kumuelewa huyu kiumbe (mwanamke), unaweza ukampa hiyo nyama ya ulimi na ya pua pia halaf akakuletea mizengwe, na unaweza ukamuona jamaa anambonda mwanamke mbaya sana na mwanamke ukamuona ameridhika fulu heshima na respekti.
to shorten the story: WANAWAKE SIWAELEWI KABISA.
 
Hizi hizi nyama zao za ulimi ndio huwa zinatuponza.Tunajikuta tumemdondokea mtu kwa ajili ya lugha laini na keshoye anabadilika.

Lugha yao laini si hiyo na kutuhadaaa bali iliyojaa ukweli ,wawe na maneno mazuri ya kujenga na si kubomoa mahusiano.. sio kila siku anajifanyisha mkali kama simba ili aogopwe ...( kizazi cha leo hakuna wa kumuogopa mwenzie zaidi ni kuheshimiana)
wasiwe na ubabe wa kiume kama mwanaume ni mambo yote la hasha ...suport ya mwanamke inahitajika sana ili kukamilisha mahusiano .
 
Back
Top Bottom