Guinea: Madaktari wafungwa miaka 35 kwa makosa ya Kubaka, Kuua na Kutoa Mimba

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
1680701261424.png
Mahakama Nchini #GuineaBissau imetoa adhabu hiyo baada ya kubaini kuwa Madaktari hao walihusika na matendo hayo dhidi ya M'Mah Sylla, aliyebakwa akiwa Hospitali na kuhamishiwa kutibiwa Nchini Tunisia mwaka 2021.

Waliohukumiwa ni Daniel na Patrice Lamah ambao wamepea kifungo cha miaka 15 jela na Daktari wa 3 ni, Celestin Millimouna ambaye alikimbia Nchi baada ya tukio hilo amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela.

Kwa mujibu mashtaka, wote walipatikana na hatia ya kushambulia, kupiga risasi pamoja na kutoa mimba huku Patrice Lamah na Millimouna wakikutwa pia na hatia ya Ubakaji.
=============

A court in Guinea has found three doctors guilty in connection with the death of young woman who was raped in hospital.

The government said in 2021 that M'Mah Sylla, had died in Tunisia where she had been evacuated for treatment after being raped.

The case caused a great deal of outrage in Guinea.

A court in the capital Conakry has now sentenced Daniel and Patrice Lamah to 15 years in prison and a third doctor, Celestin Millimouna - who is on the run - was given a 20-year sentence.

They were all found guilty of assault and battery as well as carrying out an abortion.

Patrice Lamah and Millimouna were also found guilty of rape.
 
Back
Top Bottom