Gtv ndio tumeliwa

Konaball

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
2,949
1,940
Yapata miezi miwili tangu kampuni ya GTV kufunga matangazo yao ya television, wateja wao wa hapa Tanzania mpaka sasa hawajui hatima yao je TCRA na mamlaka zingine za serikali naona zimekaa kimya kuhusu hatima ya wateja au ndio kusema wameliwa pesa zao
 
Back
Top Bottom