Graduate tuungane tutengeneze fursa

ushaur wangu chukua namba za kila anaye itaj the tutaarifiane uko sio apa maana wengne kuingia mtandaon ni kw a nadra sana
 
Baada ya changamoto nyingi za maisha na mtizamo wa serikali yetu bila shaka nimegundua usipokuwa 'creative' tutaishia kupoteza time internet.

Naamini tupo graduate wengi sana jobless hapa bongo ila tukikutana na kupanga mipango iliyopangika naamini tutatoka Na serikali itaweza kufanya collective help kwa fursa tutakazo kuwa tumetengeneza.

kila mtu kwa nafasi yake popote pale alipo mfano tuliopo hapa Dar or dodoma or else where tunaweza kutafuta mahali tukawa tunakutana na kutengeneza fursa ambazo nahakika it might push our lives to the next level.

Nimeanza mada kidogo naamini mwenye mawazo mbadala yanayoweza kujenga!
I kindly open a room for intellectual discussion.
looking forward to have nice discusn.
Mungu awabariki.

Wazo zuri sana Sifuri.. Yaani hili nakuunga mkono 10000% na ni lazima kutoka kama kwenli watu wataweka bidii na kuacha mchezo kwenye hili..

Tatizo la graduate wengi wamekuwa na ubinafsi wa kutaka kila mmoja awe vizuri awaringie wenzie.. hatufiki namna hiyo.. unganisha nguvu mfanye mambo makubwa.. kichwa kimoja si sawa na viwili... vya wasomi..
 
brother!upo 100%.i wl find u for good
 
MREJESHO* NAPENDA KUWAJULISHA MAENDELEO YA KUUNDA KUNDI LA VIJANA LITAKALOJIKITA KATIKA KUTUMIA FURSA NA KUGEUZA KUWA AJIRA , BE HADI SASA TARATIBU ZINAKWENDA VIZURI, NAPENDA KUWAJULISHA AMBAO WANAHITAJI KUUNGANISHWA KATIKA GROUP WAENDELEE KUNITUMIA NAMBA KUPITIA 0762781778 what's up kwa wale nilichelewa kuwaunganisha nilipoteza simu.
CHANGAMOTO: USHIRIKI BAADA YA KUWAUNGANISHA BAADHI UMEKUWA MDOGO KWA HIYO WALE WANATAKA KUJIUNGA WAJUE NI LAZIMA WAWE SERIOUS KWANI HAKUNA NJIA RAHISI
 
Miye nimeajiriwa but ntafurahi kama ukiniujganisha na mm kwenye group hilo...ukiwa utaka kuunga group ni inbox nikupe namba yangu
 
wasomi bwana!! kama thread ilivyo ya kibaguzi mnajichagua wenyew tu graduates kuanzisha izo kampuni kana kwamba MTU wa std 7 na form four awezi kufika mafanikio hayo bila kugraduate. hapo mmefeli!
 
What's up group lipo tayari wenye nia ya kufanya kitu kwa pamoja, nichekini what's 0762781778 haijalishi umehitimu lini,
Kwahiyo mlioitimu tu?tuliokimbia umande wakati nyie mnakalilishwa sio tulikuwa tunafanya mambo kwa nadhalia amtutaki
 
wasomi bwana!! kama thread ilivyo ya kibaguzi mnajichagua wenyew tu graduates kuanzisha izo kampuni kana kwamba MTU wa std 7 na form four awezi kufika mafanikio hayo bila kugraduate. hapo mmefeli!
Wamefeli vibaya wamuulize baresa kaishia darasa la ngapi wamefundishwa kukalilishwa hao biashara ni zaidi ya usomi mwemyezimungu anamaana yake
 
Back
Top Bottom