Graduate tuungane tutengeneze fursa

sifuri

Senior Member
May 12, 2013
154
88
Baada ya changamoto nyingi za maisha na mtizamo wa serikali yetu bila shaka nimegundua usipokuwa 'creative' tutaishia kupoteza time internet.

Naamini tupo graduate wengi sana jobless hapa bongo ila tukikutana na kupanga mipango iliyopangika naamini tutatoka Na serikali itaweza kufanya collective help kwa fursa tutakazo kuwa tumetengeneza.

kila mtu kwa nafasi yake popote pale alipo mfano tuliopo hapa Dar or dodoma or else where tunaweza kutafuta mahali tukawa tunakutana na kutengeneza fursa ambazo nahakika it might push our lives to the next level.

Nimeanza mada kidogo naamini mwenye mawazo mbadala yanayoweza kujenga!
I kindly open a room for intellectual discussion.
looking forward to have nice discusn.
Mungu awabariki.
 
Ni wazo zuri sana nitafute tupeane mawazo 0762576878/ whats up 0762781778
brother nipo dar es salaam!nitakuchek pindi nitapokuwa hewani by phone.my email pmetthew@yahoo.com.NIlipata chance ya kupiga mishe na foreigner flan zanzibar last wk ikatosha kufaham tunaweza toboa deeply kwenye nchi hii kama tukiwa cooperative focused kwenye issue za msingi kama intellectuals.chamsingi kwa washkaj wa dar or popote pale tupeane modalities tutafute start point then naamini issue zitamove foward.gradt wenzangu tujarib hata tukianza wa2 i blv w wl succeed.
 
Andika kama graduates basi mkuu! Mnakosa saana discipline kwenye mambo madogo madogo mkiamini hayana madhara kwenu lakini niamini yaweza kuwa kuna CEO mkubwa ana capital na anahitaji watu makini wa kufanya nao kazi kwa maandishi yako tu unaweza ng'amua kitu na kukutafuta kwa hatua zaidi.

Ndio maana sisi tulioishia la saba B na form four art 1, tunawatoa nishai kimkwanja nyie graduates.
 
Baada ya changamoto nyingi za maisha na mtizamo wa serikali yetu bila shaka nimegundua usipokuwa 'creative' tutaishia kupoteza time internet.

Naamini tupo graduate wengi sana jobless hapa bongo ila tukikutana na kupanga mipango iliyopangika naamini tutatoka Na serikali itaweza kufanya collective help kwa fursa tutakazo kuwa tumetengeneza.

kila mtu kwa nafasi yake popote pale alipo mfano tuliopo hapa Dar or dodoma or else where tunaweza kutafuta mahali tukawa tunakutana na kutengeneza fursa ambazo nahakika it might push our lives to the next level.

Nimeanza mada kidogo naamini mwenye mawazo mbadala yanayoweza kujenga!
I kindly open a room for intellectual discussion.
looking forward to have nice discusn.
Mungu awabariki.
Hii mada ni nzuri... embu nitafute 0768625233 tufanye mambo.
 
Andika kama graduates basi mkuu! Mnakosa saana discipline kwenye mambo madogo madogo mkiamini hayana madhara kwenu lakini niamini yaweza kuwa kuna CEO mkubwa ana capital na anahitaji watu makini wa kufanya nao kazi kwa maandishi yako tu unaweza ng'amua kitu na kukutafuta kwa hatua zaidi.

Ndio maana sisi tulioishia la saba B na form four art 1, tunawatoa nishai kimkwanja nyie graduates.
Brother thanks for your brilliant suggestion.I wrote believing people will focus to the concerned idea and not my poor language structure though you schooled me I appreciate thanks.
Brother money is just a spirit that needs to be controlled they can all get lost if you don't know how to play 'chase game',you can have them as much though you have never gone to school at all. Either you have them much or not just keep looking forward to get more and more!
Brother lets put all money stuffs aside and get focus to the concerned matter regardless your education level.
vijana wengi waliopata elimu za vyuo na amini wanaproject nyingi sana lakini dira ya nchi ndo huwa inaharibu ndoto zao!embu tusisubiri mh yule atangaze ajira bali tumuoneshe kwamba we can make our own for the national interest and what we need is his supportive motivation.
nilikuwa zanzibar last week kama international volunteer kwa week2 vijana wenzetu wako proud na taasisi za serikali zao kwa project wanazofanya nimeona bora niungane na wadau wenzangu labda inaweza kuleta kitu kwenye jamii yetu ya kitanzania.
nadhani cha msingi ni kutambuana kwa idadi kwa wenye nia ya dhati then tufanye kitu.
Tunaweza kuanza kwa uchache wetu tukaandaa project zetu kwa namna inayofaa naamini kwa talent tulizo nazo tunaweza kufika huko tunakotaka tufike
mwenye mawazo mbadala kuwa huru ni mawazo.
mungu awabariki.
 
Naona watu wenye malengo ya pamoja wapo wengi, nashauri tuwe kwenye whats group then tupange jinsi ya kukutana ,mnicheki Whats up 0762781778
 
Mimi ni kati ya muhitimu wa chuo kikuu ambaye nimeguswa na mada inayojadiliwa hapa na nimeyahafiiki kwa asilimia kubwa.

Kama kijana mwenye Nguvu, utashi, hekima na busara, weledi katika ufanyaji kazi.
Ni matumaini yangu kuwa ninaweza kuungana nanyi vijana wenzangu tukafanya jambo la msingi katika ustawi wa maisha yetu.
 
What's up group lipo tayari wenye nia ya kufanya kitu kwa pamoja, nichekini what's 0762781778 haijalishi umehitimu lini,
 
Back
Top Bottom