Google adsense, search engine optimization and seo trick for beginner in Tanzania

Card yako imewezeshwa kufanya manunuzi mtandaoni (online purchase)? Kama haijawezeshwa haiwez kukubali.

Ni kweli nimeangalia ile offer ya 99% off haipo. Sijui utaipataje tena.

Kama hiyo elfu 24 kwa mwaka bado ni ghali kwako, jaribu kucheck namecheap. com wapo pia wanauza domain kwa bei rahisi
Asante ngoja niangalie utaratibu.
 
Kuna blog yangu moja ilikuwa blogger kwa zaid ya mwaka na nusu.
Kwenye blogger nilikuwa nimeifanyia optimization zote za SEO na kila kitu (site structure, schema, rich snippets, core web vitals etc.)
Mwaka jana mwezi wa tisa niliiamishia WordPress. Traffic yangu iliongezeka kwa zaid ya asilimia 200%.

Nilichojifunza, kama unategema organic traffic, kutumia blogger is just a struggle.
Mkuu naomba unisaidie kwenye site yangu ya WORDPRESS
 
Back
Top Bottom